vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani visipoweka balance ya kidini kwenye vyama vyao visahau kuja kuitoa CCM

    Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani...
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya upinzani nchini ni waathirika wakubwa wa Taarifa za Upotoshaji, na Mtandao wa X unaongoza kwa kuzalisha Taarifa za Kupotosha

    Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa kutoa elimu ya uhakiki na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika kuchambua na kuthibitisha...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanachama wa CCM wanavyojitokeza kuchukua fomu hakika anayetaka vyama vya upinzani vife ni adui namba moja wa taifa

    Hawa wanaojiita Makada wengi wao ni incompetent kuanzia Mahera mpaka shilole. Taifa linalokataa vyama vya upinzani ni taifa mfu na mwendo wa maendeleo yake ni wa kinyumenyume. Huwezi ukapasua kioo kinachoonesha tasirwa Yako kwa sababu tu kimeonyesha kuwa una kovu. Badala ya kutibu kovu wewe...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM ni matokeo ya muungano wa hiyari na wa kizalendo baina ya vyama vya upinzani nchini

    Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU. Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM. Ni...
  7. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

    "Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu, Muwe na viongozi wenye dira chanya, Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa, Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi, Wazalisheni viongozi wenu...
  8. Daby

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya Upinzani [to be specific CHADEMA] hawaaminiKI

    Huu ni ukweli ambao ni members wachache wataweza kuusema hapa hapa JF kuhofia kutukanwa na kuchukiwa. Hawa wafuasi hawaaminiki hata kidogo. Support yao mara nyingi imeishia hapa JF na X. Ikienda mbali basi labda IG na Club house. Juzi wamemsifu Gwajima kwa ujasiri mitandaoni. Lakini sasa...
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  10. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Si vyema kuviita "vyama vya upinzani" au "chama tawala"

    Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania. Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha. Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza  Ushawishi katika...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
  12. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joketi apokea zaidi wanachama 100 kutoka vyama vya upinzani

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters kwenye Ukumbi wa Mikutano JNICC Posta Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: Vyama vya upinzani havina uchumi wa kuhudumia wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika dola kutokana na kutokuwa na misingi imara ya kiuchumi ya kuwahudumia wananchi. Ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM kwa kuwa ndicho chama chenye dira ya kweli ya...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania CCM Wanapambana kuondoa Upinzani au wanapambana kuondoa Vyama vya Upinzani!

    Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 . Huu Uzi utakumbukwa na watu wote CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani . Yaani watasiganyana wao kwa wao na hakutatawalika trust me
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Nikiangalia Vyama vya Upinzani ni kama havipo

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani kama chadema ,kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii

    Vyama vya upinzani kutokuwepo kwenye uchaguzi kuna athari nyingi, ambazo zinaweza kuwa na matokeo makubwa kwa mfumo wa kisiasa na jamii kwa ujumla. 1. Kuimarisha Tawala za Kidemokrasia - Udikteta: Kukosekana kwa upinzani kunaweza kupelekea kuimarika kwa utawala wa kidikteta, ambapo chama...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kwenda kusaini fomu za maadili Dodoma 12 Aprili, 2025 wakati Kiongozi mwenzao yupo Jela

    Naona tume (Huru) imetangaza kesho ni lazima vyama vyote vinavyotarajia kuingia kwenye uchaguzi vikasaini fomu za maadili ya uchaguzi.. Soma Pia: Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi Itakuwa aibu kubwa kama wakienda wakati Kiongozi mwenzao yupo ndani kwa kesi ya...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma

    Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa mfano, vyombo vingi vinatangaza mafanikio ya CCM huku vikifunika au kupotosha taarifa za wapinzani...
Back
Top Bottom