vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  2. GE2025 Tume Huru ya Uchaguzi inatoa kauli gani wanafunzi kutolewa Shuleni kwenda kwenye mikutano ya Vyama vya Siasa?

    Hello wakuu INEC najua wapo huku wanatumia VPN zao kuangalia Upepo unaendaje. Kumekuwa na Tuhuma mbalimbali ambazo zinatolewa Kupitia Mitandao ya kijamii hapa nchini ambazo zinaeleza kuwa Kila mkoa mgombea Urais wa CCM anafika kwa ajili ya kunadi sera zake shule zote za karibu wanafunzi na...
  3. GE2025 Vyama vya siasa Zanzibar vyasitisha kampeni kuomboleza kifo cha Abbas

    Baadhi ya vyama vya siasa visiwani Zanzibar vimesitisha mikutano yake ya kampeni kufuatia kifo cha mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abass Ali Mwinyi, kilichotokea jana. Miongoni mwa vyama vilivyositisha shughuli zake ni CCM pamoja na Chama cha ACT Wazalendo...
  4. INEC yafanya mkutano na wawakilishi wa vyama vya siasa

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko madogo kwenye ratiba ya mikutano ya hadhara ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa...
  5. Hasira ya Magufuli kwa vyombo vya habari na vyama vya siasa chanzo chake ni hiki?

    Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart. Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama...
  6. R

    GE2025 Jeshi la Polisi latoa tamko kuelekea kampeni ya vyama vya siasa Agosti 28, 2025 " usiwe chanzo cha vurugu"

    Wakuu habari, Tufuatilie live ya Jeshi la Polisi ikitoa tamko kuelekea kampeni za vyama vya siasa inayotarajiwa kuanza kesho Agosti 28, 2025 https://youtu.be/oMKspe2-o1Y?si=K58UWSQsgIJMBPg7 Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime: " Kesho Agosti 28, 2025 kama ilivyotangazwa na Tume huru ya...
  7. R

    Msajili wa vyama vya siasa: Ya Mpina sawa, uko sahihi, umetenda haki. Je ya Mama na Godfrey Malisa yako sawawa/sahihi?

    Nakupongeza kwa kutenda haki, kama amechaguliwa kinyume na Katiba ya ACT, mtengue kama ulivyofanya. Lakini mbona scenario ya Mpina ni sawa na ya Samia? why double standards Ninaomba jibu ya dokezo langu hapo juu.
  8. GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    MONALISA JOSEPH NDALA | 0657299225 | 0741299226 | ndalamonalisa50@gmail.com 26 Agosti 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSIANA NA MALALAMIKO YANGU DHIDI YA UTEUZI WA BW. LUHAGA JOELSON MPINA KAMA MGOMBEA URAIS WA ACT-WAZALENDO Mtukumbuke kuwa mimi Monalisa...
  9. U

    Ndugu mdau hebu Taja bila hofu mambo ambayo ni ya uongo yakisemwa na viongozi wa vyama vya siasa nje ya CCM

    Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya uongo ambayo ukiamini kwamba ni ya kweli wakati huo
  10. R

    Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  11. GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  12. Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni Kuna mawakala wa vyama vyote? Lengo la polepole ni kupotosha umma kwasabu anajua Hana chakuongea...
  13. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  14. Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  15. U

    Ndugu zangu watanzania kwa tabia na mienendo ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa leo nimejua kwanini CCM ilijenga vyuo vyake vya Uongozi

    A political leader who behave like anybody that is not a political leader Lack of emotional intelligence and failure to build relationships! Niwatakie mchana usiku mwema
  16. GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
  17. W

    GE2025 Omary Mjengwa: Vyama vingi vya Tanzania havina siri. Unamueleza Mmarekani Tanzania ipo hivi na hivi ili iweje?

    Wakati akizungumza katika mkutano wa vya viongozi wakuu wa vyama vya siasa wakipatiwa mafunzo ya sheria ya gharama za uchaguzi. MWanadiplomasia na mbobezi wa Itifaki Omary Mjengwa amegusia suala la usiri ambapo ameeleza kuna vyama vya siasa havina siri. === "Vyama vingi Tanzania havina siri...
  18. R

    GE2025 Vyama vya Siasa vyakumbushwa sheria za gharama/bajeti za uchaguzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imewakumbusha viongozi wa vyama kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi, ambayo imefanyiwa marekebisho na Bunge mwaka huu. Lengo ni kuepusha viongozi kuwekewa pingamizi au kufikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai Maelekezo hayo yametolewa wakati...
  19. Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  20. Inaruhusiwa kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa?

    Katiba za vyama na sheria ya nchi inasemaje kuhusu mtu kuwa mwanachama wa zaidi ya chama kimoja cha siasa? Wanachadema waliojiunga chaumma, wamejivua uanachama wa chadema au ni wanachama wa vyama vyote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…