vodacom

  1. JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  2. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM UNLIMITED PRE PAID BUNDLE

    Kigezo uwe na router(device yako) na huduma hii ni PREPAID sio POSTPAID
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom yagawa makapu ya sikukuu Makambako, yaadhimisha miaka 25 ya huduma

    Meneja Mauzo wa Vodacom eneo la Makambako mkoani Njombe, Elly Mwambene (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Sigfrid Lomanus Chaula (kushoto), katika muendelezo wa kampeni ya “Tupo Nawe Tena na Tena” inayolenga kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu. Kampeni...
  4. JamiiForums Tanzania Pata gb za Vodacom kwa gharama nafuu zaidi. Huduma ni buree

    Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida. Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi. Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Prepaid Bundle

    Habari wakuu. Kwa alie na device (router) yake iwe ya Vodacom au Universal naunga bando hizi pre paid unlimited za Vodacom Lakini pia kuna ambazo sio unlimited naunga pia. Hizi nikikuunga baada ya siku 7 pia utanufaika na menu *149*01*77# Hakuna gharama za ziada kuungwa na huduma, muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vodacom kurejesha Bando kwa wateja walionunua na hawakutumia wakati Mtandao ulipozimwa

    Wakuu, Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
  8. JamiiForums Tanzania Nkosana Makate mbunifu wa "Tafadhali Nipigie" ageuziwa kibao, atakiwa kuilipa Vodacom Tsh 1.8 Billion

    Mbunifu wa huduma ya ‘Please Call Me’, Makate, ametakiwa kulipa Vodacom R13 milioni (Tsh 1.8 Billlion) kama gharama za kisheria Mgogoro wa muda mrefu wa kisheria kati ya mbunifu wa huduma ya “Please Call Me”, Nkosana Makate, na kampuni ya Vodacom umechukua mwelekeo mpya wa kushtua, baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 VODACOM: Kama hutaki tukutumie Meseji za Uchaguzi 2025, Kalalamike TCRA

    Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA. Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako. Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom na CRDB ni wezi?

    Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu. Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100.. Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet. Package ni kama ifuatavyo. •Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/=...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  16. JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  17. JamiiForums Tanzania Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

    Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’ Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo. Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…