vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini yanga wanaumia sana simba isipocheza vizuri!?

    Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Usalama: RC Makalla awapa miezi 3 bodaboda kujipanga vizuri na kusajili vituo vya kupakia abiria

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewapa miezi mitatu chama cha bodaboda kuhakikisha wanajipanga na kusajili vituo vyao. Naye mwenyekiti wa bodaboda amesema wameitikia mwito wa Makalla kwa moyo mkunjufu na wanawasiliana na Injinia wa Tarura ili zoezi lianze mara moja. Lengo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hili jambo la internet serikali inabidi waliangalie vizuri

    Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa? Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati. "Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
  6. JamiiForums Tanzania Machinga na wafanyabiashara wa Tanzania jifunzeni kufanya biashara mtandaoni, tumieni 'smartphones' zenu vizuri

    Habari wadau JF, Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
  7. JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

    Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia. Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

    Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

    Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

    Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji na wafanyabiashara kwenye siasa nadhani hajavuta kumbukumbu zake vizuri

    Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina ya wale wajumbe wa bodi ya TANESCO ndio akajenga hoja alizozijenga. Kwamba wafanyabiashara wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Marekani, wapinzani wakichezesha vizuri karata zao za diplomasia itasaidia sana kurejesha Demokrasia

    Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosemaga China wanatupenda hawajui hawa watu vizuri

    Kuna watu wanafikiri kule China tunaheahimiwa kuliko sehemu nyingine Duniani kama US . Huu sio ukweli tofauti ni kwamba kwasababu US vyombo vya habari viko wazi tunasikia matukio mengi lakini wa China ni wabaguzi mara 100 zaidi
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  15. JamiiForums Tanzania Njia za kukusaidia kuweza kutumia muda vizuri

    1. Anza na panga siku yako vyema Usikimbilie kuanza majuku yako ya siku bila kukaa chini na kutumia dakika chache za kutafakari mambo kadhaa. Tafakari ni jambo gani muhimu zaidi ili uweze kulipa kipaumbele katika siku yako. Jifunze kujiwekea malengo, haya yatakuwezesha kujua nini unachotakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana - Viongozi lindeni heshima ya future yenu

    Cheo ni dhamani, sitakitumia cheo changu au cha mtu mwingine kwa faida ya.... Kuwa kiongozi ni dhamani kubwa aliyopewa kiongozi toka kwa raia waliomdhamini kuwaongoza. Ni wajibu wa kiongozi kulinda heshima hiyo kwa manufaa ya waliomchagua na kulinda heshima yake na future yake. Hali kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

    Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
  18. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

    Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo. Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…