vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

    Kama nchi inataka kuondokana na umaskini ni vizuri yakafanyika maamuzi ya kibingwa ni pamoja na kujenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication kwa sababu zifuatazo Vifaa vyote vya electronics vina PCB kama ubongo Na pia silicon wafer zinatumika kwenye vifaa vya electronics kuprocess data...
  2. JamiiForums Tanzania Ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh elfu 3000 mpaka 5000

    Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
  3. JamiiForums Tanzania Tumia vizuri mfungo huu utoke jumla kwenye miasha dhambi

    Huu Mfungo ukiutumia vizuri, Ni muda Muafaka wa kushinda jumla matamaa-tamaa yako ya kifala!! Usione mwanamke mzuri tayari unamtaka , Kama umerogwa.!! Ushokijua ni kadiri unanyoendekeza tamaa ndivyo unadhoofisha hatima yako kubwa ambayo Mungu kakupangia. Dhamilia kuacha ujinga Mfungo huu...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tunazidi kuwa wadhaifu, i waonder ni kipi tuta inspire watoto wetu wa kiume wajao

    Sasa hivi unakuta baba anaiimba "nyama ya mbuzi ni tamu, nyama ya mbuzi ni taamu"🤣🤣 alafu anakatika viuno kuliko mke wake. Unakuta Mtoto wake anamjibu mgeni vibaya, instead ya kuadhibu mtoto anamuambia mgeni "si unajua tena watoto wa siku hiz" Alafu akitoka hapo anaenda yale majumba ya betting...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kwenye Uhandikishaji wa Wapiga kura ni vizuri Chadema kurekodi matukio yote na kuyarusha kwa Wananchi

    Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza. Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura. Kuna taarifa za Watu wa CCM kuandikisha Watoto wadogo ambao hawajstimiza miaka 18 kama mkakati wao wa kuiba...
  6. JamiiForums Tanzania Chadema, ingelikusanya mabilion kwa mfumo wa kutoa kadi, kwa Wana chadema pia wangehakiki vizuri wanachama wao!

    KWANINI TONE TONE NA SI KUHUHISHA KADI? Chadema kama chama kingine chochote cha siasa njia kupata fedha ni kuuza na kuhuisha kadi za uanachama. njia ya kadi ina faida za kifedha, pia kupata wanachama watakaokipigania chama. Kadi za chadema zinaanzia 2500 hadi laki tano na kadi nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

    Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
  9. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

    "Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura. Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

    Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza. Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂 Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri

    Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda. 2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
  13. JamiiForums Tanzania China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

    Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15. Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
  14. JamiiForums Tanzania Freestyler Cado Kitengo yuko vizuri, ila arekebishe vitu kidogo

    Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu. Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
  15. JamiiForums Tanzania Wakristo na Waisilamu wengi hawaujui Uisilamu. Hapa utaufahamu vizuri ili nawe upate kitu. Sikiliza kwa Utulivu

    Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators msiingie kwenye mtego. Mimi niliyeuanzisha sina Dini. Ila nlikuwa Muisilamu na si mbaya nikiwaambia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiiangalia vizuri dunia ni kama imesimama

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Naam imesimama, Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku. Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa na (magari, pikipiki, saa, simu, radio, tv, engine, cherehani, nk. Bali aliumbwa adam na hakupewa...
  18. JamiiForums Tanzania Blog /Website 10 Bora zinazolipwa vizuri Tanzania

    Hizi ni Blog/Website zinazolipwa vizuri tanzania 1.Mabumbe .com -Milion 100 /mwezi 2.Millard Ayo-million 88/mwezi 3.The citizen-Million 75/mwezi 4.Ajira yako- Milion 43/mwezi 5.Kupatana -Milion 39/Mwezi 6. 7. 8. 9. 10. Itaendelea
  19. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  20. JamiiForums Tanzania BAADA YA MAKELELE TFF /KAMATI YA WAAMUZI KUMBE MNA MAREFA WENYE KUCHEZESHA VIZURI SHIDA ILIKUWA NINI;;;;???

    HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI?? SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5. MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…