viwanja

  1. D

    Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

  2. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza

    Miguu 20*20 bei million tano Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa Piga: 0789 149 581
  3. Kwanini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania?

    Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania? Na Thom munkondya. Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya chini basi ujue hivyo viwanja havijapimwa ila vimetangazwa kama vimepimwa...
  4. Siku ikitokea viwanja vya mpira vikarudishwa kwenye Halmashauri za Miji na kuondolewa kwa CCM nitafurahi sana

    Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!? Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
  5. U

    Ujenzi wa viwanja vya mpira nchini Tanzania

    Maoni, serikali iruhusu halmashauri za wilaya, manispaa au jiji kama zinajiweza basi zijenge viwanja vya mpira ili kuendelea kukuza vipaji vya soka na kuendelea kutusahaulisha shida nyingine za maisha humu Tanzania. Au serikali kuu yenyewe ijenge viwanja vidogo vidogo sehemu mbalimbali nchini...
  6. D

    ligi msimu huu viwanja vibovu sana

    I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable. What does TFF do with the money they earn? kiwanja mama wanatembea wanauza maparachichi 🚮.
  7. B

    Viwanja na mashamba

    Nauza Mashamba - Dodoma kwa bei nafuu, heka kwa Tsh.300,000/-yapo wilaya ya chamwino vijijin kwa maelezo zaidi piga simu no.0694 662625, Karibuni na pianauza mashamba na viwanja Dodoma Veyula vimepimwa million 2.
  8. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  9. M

    Plot4Sale Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja, Dar es Salaam

    Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja. i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan. ii. Ukubwa: 1780 sqm iii. Vina hati. iv. Bei 120m Ni hivi vyenye vidoti vya kijani. Mawasiliano: 0743-398408
  10. Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

    Habari wana ndugu Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi. Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii...
  11. Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  12. Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  13. Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  14. Viwanja vya ndege za NATO vyalipuliwa na kuchakazwa vibaya

    🚨Update: Russia has destroyed every Ukrainian airfield and air base capable of hosting NATO jet fighters. NATO said they will operate their ‘Ukrainian’ deployed fighter jets out of Poland and Romania. None will be stationed or flying off of a Ukrainian base!!
  15. B

    Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  16. PITIA HAPA:Mliowahi kununua viwanja au mashamba kutoka Kwa Hawa wamiliki wa Real estate agents

    Habar zenu wapendwa Kuna kiela changu nimekipata Mahali nataka kununua ka plot Kwa ajili ya investment for my kids for their feture Sasa kwenye mitandao naona Kuna Hawa real estate agents wengi Sana nashidwa kuelewa jinsi wanavyo fanya kazi na usahihi wao jinsi ya Kupata hati baada ya...
  17. Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia" Sehemu muhimu zaidi za hotuba yake ya leo: - Tuna intel kwamba Jeshi la Anga la Israeli linafanya mazoezi huko Kupro...
  18. 3

    Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  19. Serikali yatangaza kuanza kuchunguza Mifumo Viwanja vya Ndege

    Serikali imeanza Uchunguzi Maalumu wa kubaini mapungufu mbalimbali katika Viwanja vyote vya Ndege nchini ili kubaini changamoto hizo na kuweza kuzifanyia kazi ikiwemo Mapungufu ya Kimfumo, Utendaji na Upungufu wa Miundombinu ili kuweza kuboresha sehemu husika. Lengo ikiwa kurahisisha uingiaji...
  20. Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

    Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…