Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi kwa kutumia mbinu za miaka ya 1200 huko.
Waliopewa ushindi walianza kulalamika kuwa hawana mamlaka...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam:
"Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), iliyopita na inayoendelea...
Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma.
Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data.
Asante.
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji.
Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO.
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari amewataka Viongozi waliochaguliwa kwenda kuwafanyia kazi Wananchi kama walivyoomba na kuacha tabia...
Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% .
"Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini pia kuonyesha jinsi utekelezaji wa ilani ya chama chini ya mwenyekiti wetu Taifa mama yetu Samia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Mbokomu, baada ya kushinda vitongoji vitano kati ya saba. Ushindi huu unathibitisha umaarufu wa CHADEMA katika kata hiyo, huku wananchi wakionyesha imani kubwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5.
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani humo.
Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA...
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi.
Mapigano yanaendelea huku taarifa...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
Kitendawili cha miili iliyokatwakatwa katika Kitongoji cha Mukuru kwa Njenga Jijini Nairobi kinaendelea baada ya miili mingine ikiwa imefungwa katika magunia kupatikana leo Julai 13, 2024.
Maafisa wa Usalama wakiwemo wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wapo eneo la tukio kuongoza uchukuaji...
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani.
Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea.
Arusha ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Arusha ni center ya Utalii Tanzania.
Arusha ulikuwa Mji...
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi.
Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
Rais Hussein Mwinyi amekuwa ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025
Katika ushiriki wake, Rais mwinyi amezindua mpango wa kukuza mjadala ya vyama vingi na kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.