viti

Viti Levu (pronounced [ˈβitʃi ˈleβu]) is the largest island in the Republic of Fiji. It is the site of the nation's capital, Suva, and home to a large majority of Fiji's population.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

    Walemavu tuwapishe hawakuomba kuwa walemavu. Wajawazito na wenye watoto inahitaji mjadala Ila wazee hapana. Mitaani kuna magari hadi milioni tatu, bodaboda used mpaka laki sita, hivi kweli mpaka unafika miaka sitini na zaidi hata pikipiki imekushinda. Tukiacha kuwapisha tutawapa uchungu wa...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki kikatiba hivyo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera utaratibu wa bunge) Philip Marmo alisema...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Temeke: Madiwani Viti Maalumu wakutana na DC Jokate Mwegelo

    MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
  4. JamiiForums Tanzania Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Wakati wa utawala wa dola ya Rumi, adhabu ya kusulubiwa msalabani ilikuwa ni adhabu kwa ajili ya wahalifu sugu, watu kama wauaji, majambazi na wahaini. Ilikuwa adhabu ya kudhalilisha, ya kikatili na iliyo hakikisha mateso makuu kabla ya kifo. Mtu aliye tundikwa msalabani alikuwa anaomba afe...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe hadi viti vya press conference huwa vinalogwa?

    Bwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo Basi ni jambo jema sana wekundu wa msimbazi kususia ile press na kesho msisahau kuruka yale mmadawa...
  6. JamiiForums Tanzania Kamanda mwenzetu Joyce Mukya yuko wapi? Ni mmoja wa makada waliolamba viti maalum kiaina. Anatakiwa atoe neno kipindi hiki kigumu

    Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni. Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma. Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza ya chakula viti sita inauzwa

    Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo. Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco Mawasiliano 0622723082.
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

    Habari za asubuhi, Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho. 1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa. 2. Viti atakavyovikuta pembeni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  12. JamiiForums Tanzania Meza na viti vinahitajika!

    Habari za leo? Naomba kuuliza mwenye kuuza au anayejua wanapouza viti kama hivi pichani kwa hapa DAR anipe mwongozo. Asante.
  13. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge19 Viti Maalum wanaojitambulisha kwa jina la CHADEMA washitakiwe

    Uongozi wa CHADEMA. Ni miezi 8 sasa tangu Wabunge wa Viti Maalum 19 kuwa Wabunge kwa mwavuli wa CHADEMA. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa CHADEMA. Naomba mtafute wanasheria wazuri wafungue mashitaka kwaniaba ya taasisi ya CHADEMA, sio tatizo wakishirikishwa Wananchi kuchangia kwa ajili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  16. JamiiForums Tanzania Vinatafutwa viti vya asili

    Kama ilinyo elezwa apo juu vinatafutwa viti vya asili ka. A hii picha inavyoonekana. Location viwe kanda ya ziwa bei iwekwe hapa mimi ni mgeni wa huu mtandao, staweza kuja inbox 👸😌🙏🙏
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

    Nataka kufanya biashara ya Saloon au Barber shop, natafuta anayeuza viti na vifaa vingine. Nipo tayari kwa biashara kwa haraka sana. Nipo Dar. Mawasiliano: 0622686575
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…