vitasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

    Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini. Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani. Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+ Na hapo...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mtei: Samia alijua atakula vitasa vya Chadema akakacha kuhudhuria?!

    Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya. Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya Samia apate ugumu wa kuja huko msibani. Mwigulu amepigwa suprise hakujibu hata moja.
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kaibuka na vitasa

    “Magumu yaliyokupata wewe, yalikupata kwasababu mimi nilikataa nilikataa Utekaji na mpaka leo nakataa UTEKAJI vilele”-; Bishop Gwajima a.k.a Jasusi la Mbinguni.
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kujenga Arena ambayo mashindano ya VITASA yatakuwa yanafanyika na sio kufanyika vichochoroni kama ilivyo sasa

    Venue zinazotumiwa na VITASA ni mbovu mno kuna mda unajiuliza hii itaendelea mpaka lini Fahamu watanzania wengi sana wanapenda haya mashindano ya ngumi ila venue zake ni mbovu sana ziko local, na hazivutii kabisa watu wanapigania vichochoroni KATIKA MAMBO NTAKAYOYAFANYA NI KUHAKIKISHA...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania AZAM TV washinda kesi, wataendelea kuonesha vitasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni. Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vitasa bora kwa ajili ya mageti ya mlangoni

    Wadau naomba kwa yeyote anaejua brand nzuri ya vitasa vya mageti ya mlangoni ambavyo ni imara na havina changamoto. Ukiwa na picha na bei zake itapendeza zaidi. Viwe visivyo na mikono, yani kuna sehemu ya ufunguo tu.
  7. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania VITASA VYA MLANGO KUFUNGUA KWA PASSWORD,FINGERPRINT,CARD NA APP-0746373222.

    SMART LOCK. Vitasa hivi ni matokeo ya ukuaji WA TEKNOLOJIA ikapelekea kutengenezwa Kwa vitasa vya milango vinavyo tumia mfumo maalum ili kufungua( password,finger,card na app ya simu). VITASA hivi havitegemei umeme WA Tanesco. Ndani ya kitasa Kuna battery nne ambazo hufanya KAZI Kwa takribani...
  8. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Vitasa vya mlango kuchezewa na sioni mtu

    Mambo vipi? Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam hawezi kutumia jina lingine katika boxing hadi atumie "vitasa" ambayo ni ID ya mwamaluka

    Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi. Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  11. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  12. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Back
Top Bottom