vitabu

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu hivi

    Habari, Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana. NB Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu. Majina kwa kingereza 1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda 2. Inside...
  2. JamiiForums Tanzania Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba

    Yeeeerrrrreeeeh! Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife. Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu. Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
  4. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

    MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea. Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho. Allah amjaze kheri.
  5. JamiiForums Tanzania Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  6. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu

    Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya dini yaliyoandikwa katika nyakati za kale lakini hayakupokelewa rasmi kuwa sehemu ya Biblia Kanoni...
  7. JamiiForums Tanzania Ongeza maarifa Kwa kusoma vitabu

    Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia. Vitabu vya...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu si kipaumbele: Hela za Mabango na wasanii zipo za vitabu hakuna!

    Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje. Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
  10. JamiiForums Tanzania Nanunua vitabu. Visiwe vya masomo ya shule

    Kama bango lisemavyo, vitabu vyovyote cha mwaka wowote, mwandishi yoyote vya ambavyo unavyo husomi au huvihitaji basi mimi navihitaji hivyo. Popote vilipo duniani utaratibu wa kuvipata tutaratibu Karibu PM tuyajenge
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji vitabu hivi nibadili maisha yangu milele

    1. Emotional Decision/Logical decision 2. Art ot being alone 3. The power of belief 4. Everything matter 5. How to sell a pen
  12. JamiiForums Tanzania Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
  13. JamiiForums Tanzania Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

  14. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo ya upambanaji?

    Nilikua nauliza vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo mazuri katika maisha na hustling?
  15. JamiiForums Tanzania Natamani kutafsiri vitabu ila sijui wapi nianzie naomba muongozo tafadhari

    Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  17. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini Wazungu wanapenda kusoma vitabu?

    Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa sababu wamelelewa hivyo! Walijengewa hiyo tabia tokea wakiwa wadogo sana. 1. Wanaweza wasiwe wote...
  18. JamiiForums Tanzania Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

    Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
  20. JamiiForums Tanzania Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…