vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  2. M

    Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  3. PostGE2025 D9: Kwenye vita ya ngangali na ngunguli hakuna mshindi

    Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania...
  4. M

    Vita italetwa na CCM

    Watanzania wote tumejionea na tumekiri vita italetwa na ccm. Hizi propaganda zao za kuwauzia uoga wananchi kuwa upinzani utaleta vita ni vichekesho. Mmeona Samuya alivyobaka uchaguzi na kujishindisha kwa 98% lakini akiogopa kusherehekea ushindi wake na hao watu milioni 31 waliomchagua. Uchaguzi...
  5. Mbinu ya kumaliza vita ni kutoongeza wahusika(maadui)

    Hamjambo! 1. Panapokuwa na vita baina ya watu wawili njia pekee ya kutopanua vita hiyo ni kutoongeza wahusika. 2. Mbinu nyingi ni kuhakikisha vita haidumu muda mrefu. Kwa sababu vita kadiri inavyochukuaa muda mrefu ndicho hasara na mgogoro unavyopanuka na kuongeza wahusika. 3. Kupigana muda...
  6. PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

    Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza sijasimuliwa: Vijana wanapigwa risasi na kukimbizwa hospitali nimeona, Kufukuzwa na magari ya jeshi nimeona...
  7. Hata vita ya wenyewe kwe wenyewe Sierra Leone vilianza hivi hivi

    Mjomba wangu ameniambia kuwa mkwe wake alikuwa anatoka kazini alipigwa risasi ya kichwa amefariki huko Dar. Hakushuriki maandamano wala vurugu lakini ameuawa. Waliouawa bila kushiriki kwenye maandamano ni wengi kuliko hata vijana waliokuwa wanafanya vurugu. Je, polisi walishindwa kupambanua...
  8. Vita kati ya Utu na VITU

    Hamjambo! 1. Ni wazi vita imekolea kwa kiwango cha juu kabisa 2. Propaganda za tafuta pesa zilishamiri huku watu wakifikiri pesa ndio utu wa mwanadamu. 3. Sisi watibeli Pesa ni karatasi tuu. Yaani kuwa kwako na pesa hakutufanyi tukuone wa maana kuliko watu wengine. 4. Propaganda ya tafuta...
  9. M

    ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  10. Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

    Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza. Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa. Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili...
  11. M

    Ikitokea Vita, hauendi vitani wala kuwasaidia hadi waitoe CCM

    Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
  12. GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  13. Siri nyuma ya Vita vya Paka mweupe na Jogoo mweusi

    Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
  14. Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  15. Sijui mwamba alifeli wapi hii vita sio mchezo

    Nimeingalia mara mbili mbili hatari sana
  16. Trump kaandika bonge la gazeti vita aliyoanzisha na wachina imemgeukia

    Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
  17. Raia huko Gaza waanza kushangilia usitishwaji vita

    Huko Gaza, "raia" wale wa Wanajihadi wa Nazi waliosherehekea mauaji ya tarehe 7 Oktoba sasa wanasherehekea usitishaji vita unaokuja kwa sababu wanaona huu kama ushindi mkubwa. "Njaa" hiyo yote ilitoweka ghafla. Ikiwa hatutafanya kitu kikali baada ya mpango huu, tutalipa hii katika miaka 20...
  18. Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  19. Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  20. Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…