vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu inatishia usalama na uhai wa Rais aliyepo madarakani, tuiangalie kwa jicho la Vita ya madaraka

    Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais. Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

    Wana JF Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  5. JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera iligharimu Tanzania Trilion 1.15

  6. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

    Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake. Binafsi naamini hata hii habari yenye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

    Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau: Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli. Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani? Watuonyeshe mbaya wetu. Zikawe ama zake ama zetu!
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ushindani wa biashara kuna vita ya biashara

    Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita. Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

    Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania. Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dikteta wa hatari

    Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo lakini siku zinavyozidi kwenda inakuwa tofauti sana. Baba zetu na mama zetu walimuimba sana mashuleni...
  11. JamiiForums Tanzania Tusisherehekee Uhuru kwa kurusha tu ndege za kivita na kuvunja matofali

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi. Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia. Ningependa sana kuona kila tunapokaa kusherehekea uhuru wetu, tukumbushane jinsi gani majadiliano, ustaarabu na diplomasia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wapigwe Vita Polisi kunyang'anya madereva leseni

    Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi! Eti kumbe Jan - Sep 2021 wamepokonya madereva 537 leseni za udereva? Jambo la hovyo kabisa kusikika kwa wapenda haki na...
  13. JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  14. JamiiForums Tanzania Belarus yatumia maharamia kuidhoofisha EU, yatishia kukata gesi inayotumika kupunguza baridi kwenye nchi nyingi za EU, vita yanuka

    Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU. katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri kwenda Belarus kutoka Mashariki ya Kati, Afrika na Asia ili kuzamia Ulaya ya magharibi. maharamia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  16. JamiiForums Tanzania Vita ni vita: Kuelewa unachokitaka kwenye neno "KANDA"

    Hata mimi wakitamka neno "KANDA SIELEWI" huwa nini maana yake!? Tuwaandalie!
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan ladai limechukua madaraka kuepusha vita

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo. Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani, Abdalla Hamdok amerejea nyumbani kwake. Imeelezwa, alipelekwa nyumbani kwa Jeneral Burhan kwa sababu ya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

    As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka 1-1 Kwa sasa Giant jingine la congo liko kikaangoni nyumbani kwao lubumbashi , tayari wako nyuma kwa...
  19. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
  20. JamiiForums Tanzania TANU ya Nyerere waliwahi kupiga vita mawigi na vimini

    Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo mwaka 1975 serikali ya TANU ilikaa kujadili juu ya kile walichoona kuporomoka kwa maadili. Vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…