vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Vita dhidi ya Corona: Kunawa mikono sawa lakini vipi kutumia media kuhimiza watu kuacha kupiga chafya na kukohoa kwa kutumia viganja vya mkono?

    Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu. Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu kunawa mikono/kutakasa mikono katika kudhibiti maambukizi ya corona na kutumia nguvu kidogo kuhimiza...
  2. L

    Je, Marekani inaeneza kwa vitendo “fikra za vita baridi” barani Afrika?

    Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
  3. Uanaharakati katika vita vya kupata Katiba Mpya Tanzania

    Wana bodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili. Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza kudumu kwa muda mrefu na kuleta mabadiliko ya aina yoyote? Mchakato wa kupata katiba mpya miaka...
  4. Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  5. SoC01 Tamthilia za kutoka Ng'ambo: Tujihadhari, tupo kwenye vita vya kiutamaduni

    Tangazo la tamthilia ya Sultan toka Uturuki MWAKA 2010 nilifanya mawasiliano na kampuni ya Sony Pictures yenye makao yake Los Angeles (Culver City) nchini Marekani. Sony Pictures ni kampuni kubwa ya burudani huko Hollywood iliyoanzishwa Agosti 7, 1991 baada ya kujitenga kutoka kampuni ya...
  6. Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

    Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda. #Sehemu #ya - 1 Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979. Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
  7. H

    Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

    vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied...
  8. L

    Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  9. C

    Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  10. B

    Tuwatambue wanaohujumu vita dhidi ya Covid-19 nchini

    Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria kuwasili kwa chanjo. Hatua hii ni njema kabisa ya kupongezwa na kila mzalendo na hasa kila...
  11. Baada ya fungate ya utawala mpya kuisha, 'vita' imeanza rasmi

    Katika siku 100 kwanza za Rais SSH alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi mengi kwa muda mfupi. Ilikuwa kama nchi ndo imetoka kupata uhuru kutoka kwa mkoloni. Kumkosoa katika jambo lolote lilikuwa kosa kubwa sana maana ungepewa majina kama Mataga, Sukua gang nk. Ilionekana kama alipata...
  12. Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia. Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
  13. C

    Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani' Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
  14. B

    Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

    Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
  15. Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

    Sina mda na salamu. Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho. Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7. Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Museveni atangaze lockdown...
  16. Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  17. Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

    Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono! Lissu...
  18. M

    Vita ya Kiuchumi imeishia wapi?

    Katika kipindi cha Awamu ya Tano ya Mwendazake, Rais Magufuli wananchi tulielezwa nchi yetu ipo kwenye vita vya kiuchumi haswa na nchi zilizoendelea [Mabeberu}. Kwenye ugonjwa wa COVID-19 tulielezwa hivyo, Madini yetu, koroshona hata kwenye uwekezaji pia. Je vita hii imekwisha lini maana...
  19. Wanawake wa Armenia walipigana vita ya Ottoman

    Hii ilikua mwaka 1895
  20. L

    Mafanikio na changamoto za China katika vita dhidi ya matumizi ya tumbaku

    Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Kamati ya afya ya taifa ya China (NHC) na Ofisi ya mwakilishi wa Shirika la Afya duniani (WHO) wakati wa maadhimisho ya 34 ya siku ya kupambana na matumizi ya tumbaku duniani, inaonyesha kuwa China ina watumiaji tumbaku zaidi ya milioni 300, na watu milioni 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…