vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  2. JamiiForums Tanzania Mkono wa vita ya China na US unanukia

    Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA HUU MKONO UKIPIGWA DUNIA ITASIMAMA KWA MDA CNN)The United States is to take part in a joint military...
  3. JamiiForums Tanzania Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

    Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati. Vita dhidi ya nani? Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui. You need to be...
  4. JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE VS JEZI ZA SIMBA

    Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
  5. JamiiForums Tanzania Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

    Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine. Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake. Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

    Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!! Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Chemsha bongo! Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali? Ukweli ni kwamba vijana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bila kumung'unya maneno: Zelensky ameukubali muziki wa Urusi kwenye uwanja wa vita

    Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower. Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the fighting in Donbass was “hell,” claiming that Kiev’s military remained heavily outgunned and even...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  12. JamiiForums Tanzania Vita ambavyo China imewahi kushiriki

    Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika nyanja za vita. Karibuni sana tuelimike wote!
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Tanzania inavyoweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwepo kwa changamoto za uchumi zilizosababishwa na UVIKO -19 na vita kati ya Urusi na Ukraine

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya yamesababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei za vyakula ,ongezeko katika bei ya mafuta na gesi pia kupungua...
  14. JamiiForums Tanzania Askari wa Ukraine wapoteza morali ya vita limeripoti gazeti la NEWYORK TIMES

    Ukraine’s military morale in decline – NYT Those willing to fight are left behind while the unwilling are drafted, according to the US newspaper. Ukrainian servicemen run for cover amid a Russian shelling. © AFP / Aris Messinis Kiev’s “secretive and arbitrary” military recruitment, which...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani kinatumika kuwaita waliopigana vita kuu ya dunia mashujaa?

    Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu zetu walihusika katika biashara ya watumwa kwa kuwakata ndugu zao na kuwauza kwa wageni. Wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

    Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mikakati ya vita katika kuzinemesha nchi tajiri kwa kuzinyonya nchi changa, (Vita na Uchumi)

    Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia. Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:- Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nani anashinda vita Ukraine?

    Kwa heshima na taadhima naomba kuwakaribisha wanazuoni wa mambo ya vita, watafiti na wajuvi wa siasa za kimataifa kutoa elimu kuhusu nani anashinda kwenye uwanja wa medani ndani ya ukraine. Kama wewe sio mjuzi wa mambo ya medani yanayojumuisha, silaha, askari, uchumi, propaganda, mbinu na...
  20. JamiiForums Tanzania Vita Vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande?

    Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa. Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…