vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

    Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
  3. JamiiForums Tanzania Vita ya urusi na Ukraine inavyosababisha vifo vya Nyangumi

    Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya Helkopta na makombora yanayopita juu ya bahari pamoja na milipuko ya chini ya bahari inatajwa pia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Putin asitisha Vita na Ukraine kupisha Sherehe za Krismasi leo

    Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023. Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Putin Atangaza Kusitishwa Kwa Vita Vya Urusi Na Ukraine Kwa Masaa 36

    Wadadisi wa mambo Wanasema ni mwanzo mzuri🤔 ... https://www.express.co.uk/news/world/1717211/Ukraine-war-Russia-tank-weapons-Bonus-battlefield-combat-live
  6. JamiiForums Tanzania Canal+ inapigwa vita kwa sababu inaonesha ligi kuu ya Uingereza kwa bei nafuu

    Tayari kuna tangazo la TCRA kuashiria kuanza kwa mileage dhidi ya matumizi ya decoder ya CANAL+ Nchini tanzania na hiyo ni kwa sababu inaleta ushindani kwa dstv. Badala ya kufikiria kuipiga marufuku decoder hiyo iwape utaratibu wa kufanya ili nayo ilete changamoto chanya kwa wapenzi wa soka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  8. JamiiForums Tanzania Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

    Nostradamus predictions 2023 Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503. Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic...
  9. JamiiForums Tanzania Rwanda yasema ndege ya vita ya DRC imeingia kwenye anga yake

    Kauli hiyo ya Rwanda imetolewa wakati mivutano kati ya majirani hao wawili ikiongezeka juu ya waasi wanaozidi kusonga mbele katika eneo lenye mzozo la Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC). DRC inaishutumu Rwanda kuliunga mkono kundi la waasi la M23, ambalo liliteka baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye vita hii natoa tahadhari kwa Balile, Kigwangalla vua nguo uoge ili utakate

    Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille, Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni. Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin asema yuko tayari kwa mazungumzo ya kumaliza vita

    Anasema Zelensky ndiye amekataa kumskliza wayamalize, huyu huyu Putin aliyempa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, huyu huyu aliyesema atakayeisaidia Ukraine asubiri kipigo, huyu huyu aliyegoma kupokea simu za Zelensky siku za mwanzo mwanzo, amefika mwisho, hali imemzidi, sasa amegeuza kibao na...
  13. JamiiForums Tanzania Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group. Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
  14. JamiiForums Tanzania Magari ya Mbagala ni kama magari ya vita

  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

    Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa. Hivyo Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

    Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi. Sababu kubwa ni nini wakuu. Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili? Karibuni wajuvu,
  18. JamiiForums Tanzania Njoo hapa nikufundishe njia sahihi ya kupigana vita vya kiroho

    Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu. Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato. Niliamua kuachana kabisa na mambo...
  19. JamiiForums Tanzania Mzambia aliyetumika kuisaidia Urusi kwenye vita, kuzikwa Zambia

    Supapawa baada ya kuishiwa wanajeshi, imekua ikitumia wafungwa kupigana kwa niaba yake, sasa Mzambia aliyeuawa kwenye hayo mapambano, mwili wake utaletwa nyumbani....takbir The body of a Zambian student who died while fighting in Ukraine after being jailed in Russia will be repatriated on...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani yasalimu amri katika vita ya kiuchumi na Venezuala

    Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikiiwekea ajenda za kuikwamisha Venezuela hasa katika sekta ya mafuta. Vikwazo hivyo viliitikisa sana Venezuela na kuirudisha nyuma kiasi kwamba watu walipanga foleni kwa siku kadhaa kupata lita moja ya petroli, taifa shujaa la Iran lilisimama na wavenezuela na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…