vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

    Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu. Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza...
  2. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na utawala wa dola

    Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu. Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni. Ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyekimbia vita Sudan ajuta kurudi kwao

    Ahmad Shams ni mfanyabiashara aliyekimbia vita vya wenyewe nchini Lebanon takriban miaka 17 iliyopita. Akiwa Sudan alifanikiwa sana kibiashara baada ya kuanzisha mkahawa karibu na uwanja wa ndege wa Khartoum na jirani ya makazi ya watu wenye uwezo kimaisha. Machafuko yalipoanza wiki mbili...
  4. JamiiForums Tanzania Sudan: Kituo kinachofuga Simba chapungukiwa chakula kutokana na vita, wafanyakazi waanza kukimbia

    Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea. Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

    Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani wahangaika kumtafuta aleivujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine

    Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine. Hadi sasa imefahamika kuwa taaarifa hizo zilitokea katika mchezo wa computer yaani "online game" na zilikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yamhukumu baba kisa binti yake alichora katuni za kukashifu vita dhidi ya Ukraine

    Yaani binti kachora huu mchoro wa kukashifu vita na hii imetosha babake kuswekwa ndani miaka miwili..... Ujamaa ni mfumo wa hovyo sana maana ndio umesababisha Warusi wamekua wazungu mazombi tofauti na wazungu wengine.... Russia: Two-year prison sentence for child's drawing Juri Rescheto...
  13. JamiiForums Tanzania Waitara ahamasisha wananchi kuigomea serikali Wilayani Tarime

    Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema: "Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya dola ya Marekani (De-dollarization) yaelekea kugonga mwamba

    Ndoto ya kujaribu kuondoa ushawishi wa sarafu ya dola ya Marekani katika mfumo wa biashara duniani unaofanywa na Russia na China inaonekana haitazaa matunda yoyote kama inavyo chambuliwa hapa na wataalamu wa maswala ya fedha. =========== Here's why experts say Russia and China's attempts to...
  15. K

    JamiiForums Tanzania The greatest threat to the USA is not China, but Peace

    Greatest Threat to the USA is Peace. By: Chua Chin Leng Date: 24-March-2023 The greatest threat to the USA is not China, but Peace. Peace in the world would bring an end to the evil American Empire that is built around war and a war economy. When there is Peace in the world, the Americans would...
  16. JamiiForums Tanzania Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa zenye Chuki binafsi ni Sababu ya Vurugu na Vita

    Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa. Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo. Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
  19. JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali Aretas James Lyimo atangaza vita mpya dhidi ya dawa za kulevya nchini. Kuanza na vijiwe vyote

    KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
  20. JamiiForums Tanzania vita ya kushuka daraja premier league

    Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini. Timu sita kati yao zimebadilisha makocha ili kuepuka janga la kushuka daraja ambalo linaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…