vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu sasa Urusi kumaliza vita kwa haraka

    Kuanzia sasa meli yoyote itakayokatiza bahari nyeusi kuelekea Ukraine itachukuliwa kana kwamba imebeba silaha kwaajili ya Ukraine na inaweza kushambuliwa. Hatua hiyo ya Urusi imekuja siku mbili tu baada ya kujitoa kwenye mkataba wa usafirishaji wa nafaka uliosimamiwa na Umoja wa mataifa pamoja...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

    Tunapigana vita vya kiuchumi…wana pakukimbilia: Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  4. JamiiForums Tanzania Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

    Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele. Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa mauzo ya Mayele kuliko thamani ya Mkataba wa msimu mmoja wa Simba na Sandaland. 3,645,000,000...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
  6. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  7. JamiiForums Tanzania Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

    Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje. Hayo aliyasema...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vita ya ma-DAS, ma-DC yaichefua Serikali

    Dodoma. Ungedhani baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuwaonya wateule wake kuhusu kuendekeza migogoro kazini, hali hiyo pengine ingekoma. Lakini hali sivyo ilivyo. Migogoro isiyokwisha ya makatibu tawala wa wilaya na wakuu wa wilaya kwa baadhi ya wilaya nchini, imeibua hasira ya Serikali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Habari za muda huu Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu 1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita!

    Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi. https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
  13. R

    JamiiForums Tanzania Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

    Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine imetuonyesha kuwa hata Wazungu ni wajinga sana

    Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu. Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
  15. JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Normandy(6.6.1944)-operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano(US&UK)iliyosaidia kumaliza Vita vya Pili ya Dunia

    Uvamizi wa Normandy (1944) - Hii ilikuwa operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano wa Magharibi katika Vita vya Pili ya Dunia. Uvamizi huu wa majeshi ya Marekani na Uingereza ulianza mnamo tarehe 6 Juni 1944, na ulikuwa hatua muhimu katika kumaliza vita hivyo. Uvamizi wa Normandy, ambao...
  16. JamiiForums Tanzania Vita si mchezo wa kuigiza!.-Zelensky

    Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa. Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka. Moja ya sababu alizosema zimepelekea...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Iwaangalie Watoto Waliositisha Masomo kwa Sababu ya Vita Ukraine

    MBUNGE JANEJELLY NTATE - SERIKALI IWAANGALIE WATOTO WALIOSITISHA MASOMO KWA SABABU YA VITA UKRAINE 🇺🇦 "Waziri wa Fedha umekubali kupunguza mipaka ya Utawala wako, kukubali Idara ya Mipango irudi kuwa tume ya Mipango. Rasilimali watu iliyopo pale walikuwa hawatumiki ipasavyo sasa hawa Wataalam...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya, 26 Juni Mkoani Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Kamishna Jenerali wa Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, Aretas Lyimo ameeleza hayo alipokuwa akizungumza...
  19. JamiiForums Tanzania China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…