vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  2. JamiiForums Tanzania HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

    Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  6. JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  7. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu za vita na mgogoro kati ya Israel na Lebanoni

    1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki. 2. Kundi la Hezbollah: Hezbollah ni kundi la wanamgambo na kisiasa lenye makao yake Lebanon, ambalo linapinga...
  11. JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  12. JamiiForums Tanzania Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria ya kimataifa ya vita kiuhalisia haitekelezeki

    kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa...
  14. JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Jeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. Linakirudisha kisiwa chake kilichoasi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa chote BREAKING ⚡🚨 Chinese army Helicopter monitoring in Taiwan to warn US and #Taiwan joint forces...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Vita nyingine by Communists iko mbioni

    https://x.com/MattWallace888/status/1845662189257895977
  16. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
  17. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  18. JamiiForums Tanzania Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la kuchochea mgogoro wa kivita katika Mashariki ya Kati. "Kwa mujibu wa tathmini zetu, Hezbollah...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

    Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu. BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

    Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…