vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia ya 3 kutokea? Na JE, tujiandaaje??

    Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine kutumia Silaha za masafa marefu kushambulia ndani ya Urusi, basi Urusi itahesabu kuwa NATO imeingilia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Vita inayopiganwa ndani ya matumbo ya wanawake Walio ndani ya Ndoa, (Eve vs Mary)

    Salaam, Shalom! Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi. Naweka seat, Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

    Wakuu tujongee...Sasa katika kitu kilikuwa kikingojewa na mataifa mengi wakitaka kujua uwezo wa Urusi sasa kinakaribia,hii ni baada ya Ukraine Usiku wa kuamkia leo Kutumia hizo silaha za masafa marefu aina ya(ATACMS) akilenga miji mikuu iliyopo kalibu na mpaka wa Urusi!! Ukraine imetumia Mfumo...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Video: Robert F Kennedy Jr afichua chanzo cha vita vya Ukraine

    https://youtu.be/LD6kvDHbIYY?si=7sv2Yv9AeEDde3Er Uhusiano kati ya wauzaji wa silaha na vita vinavyoendelea ni mada ya mjadala mkubwa na wasiwasi. Biashara ya silaha, halali na haramu, inachukua jukumu ngumu katika kuzidisha na kusaidia migogoro kote ulimwenguni. Hapa kuna baadhi ya mambo...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Ripoti Mpya Yaonyesha Idadi Kubwa ya Vifo Katika Mgogoro wa Sudan

    Utafiti mpya umebaini kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan ni kubwa zaidi kuliko ilivyoripotiwa awali. Kulingana na ripoti ya Sudan Research Group ya London School of Hygiene and Tropical Medicine, zaidi ya watu 61,000 wamefariki katika jimbo la Khartoum...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Japan ni kama wamesahaulika katika Ulimwengu wa Vita na Silaha?

    Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara. Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
  7. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kuamini Hezbollah, Hamas, wanaweza kumpiga myahudi jwa vita hivi ni unyanyasaji

    Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu Myahudi sio mkristo ila ndugu zangu myahudi akili zake haziko Sawa na ni mtu wa vita sisi tuombe tu amani uko...
  8. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Irani wamejiandaaje kukabiliana na vita na Israel baada ya Trump kushinda?

    Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya. Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe...
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Vita ya Iran na Israel kuikosesha ubingwa Liverpool

    Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati. Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia. Kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vita vya kuingizwa Israel inaiingiza marekani

    Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
  13. ward41

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

    Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake...
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  19. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  20. Marashi

    JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
Back
Top Bottom