vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

    Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio Hitimisho Jeshi la...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna. Ni vita tu!

    Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili...
  3. JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Pakistan na Afghanistan Mmeipotezea?

    Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
  5. JamiiForums Tanzania Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  6. JamiiForums Tanzania Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  8. JamiiForums Tanzania Vita barani Afrika

    VITA BARANI AFRIKA.. Nchi ya kwanza kujitawala upya katika Afrika ni nchi za Afrika ya Kusini zilizojiunga na kujiendesha wao wenyewe katika mwaka 1910. Misri, katika mwaka wa 1922 walikuwa wanajiendesha wenyewe, na Tangier katika mwaka wa 1925. Madola mengi ya Afrika yalianza kupigania uhuru...
  9. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo, wanaotaka kuuangamiza Ufalmu wa Mungu wa Israeli, na... 'malakia'...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti za uwezekano wa vita kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza

    Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza. Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha kuzuia. Tehran inajenga upya silaha zake, inaunga mkono wawakilishi, na inaendelea kutoa wito wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

    Jana Pakistan limetokea shambulio la bomu katika msikiti wa Shia na kupelekea mauaji zaidi ya washia 30, ni kawaida sana kwa mashambulio kama haya kutokea kwenye nchi kadhaa kwenye jamii za Shia huko Asia, Kwa nini Wasunni hawawakubali washia kama Waislamu wenzao wakati wanafanana kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    Kuna wapenzi wa mini vans kwa matumizi ya familia, biashara (private/special hire) au misele mjini. Hizi nyingi zina seat 7 kwa configuration ya 2 + 3 + 2, na milango mitano. Ni spacious, kwa abiria na zina boot kubwa kwa mizigo. Pia zinakua na nguvu ya kutosha kabisa kuhandle uzito wa abiria...
  14. JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

    Habari za usiku Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4. Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu) Nilijipa siku 3...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  17. JamiiForums Tanzania CCM na wakata vichwa wanaotaka vita na kanisa Katoliki mmewasahau akina Komando Padre Dr. Henry Rimisho askari na majasusi wa kanisa?

    Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa elimu na mengineyo unaweza kuwaogopa sana kanisa Katoliki. Jamaa Askari wa jeshi na alikuwa vitani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  19. JamiiForums Tanzania Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

    Ndege vita za Saudia zimeshambulia vikosi vya Yemen
  20. JamiiForums Tanzania Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

    Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE. Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE. Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…