vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vipimo Saba vya Ufanisi wa Kimkakati katika biashara

    Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao utakuwezesha wewe mfanyabiashara mdogo uweze kufahamu kwamba kufanikiwa katika biashara sio swala la bahati...
  2. Amepima akakuta ana damu nyingi. Njia ipi ni rahisi ku-level damu?

    Wakuu msaada kwa ilo ni njia ipi rahis ya kupunguza wingi wa damu ukiacha ile ya kuchangia damu. Jinsia yake ni Ke,
  3. Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  4. Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

    Ndugu zangu! Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA. Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja. Natanguliza shukrani.[emoji1488] Ncha Kali.
  5. Natafuta anayeuza duka la dawa au maabara ya vipimo

    Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
  6. B

    SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  7. Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  8. Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  9. Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

    Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito, Mrejesho. Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi, Nimeamka...
  10. Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

    Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
  11. Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

    Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
  12. Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
  13. Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  14. C

    Vipimo vya presha vinanichanganya

    Leo nimepima presha nimepata katika vituo vitatu tofauti majibu yamekuja tofauti tofauti. Cha kwanza ilikuja 152/80/67 nikamwomba arudie ikaja 146/79/68. Nikenda kituo cha pili nilipata 156/83/64 nikamwomba arudie ikaja 132/84/69 nikaenda kituo kingine nikapata 130/78/71. Wataalamu naombeni...
  15. T

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  16. Vipimo vya awali vya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu!

    Rest in peace John Pombe Magufuli. Hongera kwa Mh Rais Samia kwa kukamata kijiti. Mimi nikiwa muumini wa Sera na utekelezaji wa Ilani ya CCM nachelea kusema vipo vigezo muhimu vitakavyoelezea utendaji kazi wa Mh Rais Samia katika awamu ya sita ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa yale Serikali ya...
  17. GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  18. Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hotelini

    Wasafiri wanaoingia au kutoka Zanzibar kuanzia leo vipimo vyao vya Covid-19 vitachukuliwa kutoka hoteli kubwa na matokeo kupelekwa kwa mamlaka husika kwa njia ya elektroniki. Hii inafuatia kuletwa kwa ripoti ya maabara ya elektroniki ya Covid-19 na Wizara ya Afya ya Zanzibar, Maendeleo ya...
  19. E

    Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili

    Habari wakuu, Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa. Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa...
  20. Hivi Madaktari wetu huwa wanashindwa kutafsiri matokeo ya vipimo?

    Nimekuwa nikisikia habari za mtu kuambiwa na ugonjwa huu akawa anatibiwa ugonjwa kwa muda mrefu halafu baadae inakuja kugundulika hana huo ugonjwa. Kuna mdada aliwahi kuhojiwa, aliambiwa na kansa akawa anachomwa mionzi kwa muda wa miaka 2 hadi wakataka kumkata ziwa, ila familia ikampeleka India...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…