vipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nzalendo

    Tunauza vipimo vya kuthibitisha iwapo wakubwa wamefurahi ama lah

    Naam ni vipimo vya kuthibitisha kama wakubwa wanafurahi ama la. Pia vitakuwa vinatuma taarifa TCRA ili kuokoa muda kwamba jambo fulani limewakasirisha wakubwa. Pia kipimo hakitajali tafsiri ya katiba ya uhuru wa kutoa maoni bali itazingatia uchawa na furaha ya wakubwa. Sema AMINA
  2. H

    Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo

    Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA) zimesaini mkataba wa miaka mitatu (3) wa kushirikiana katika usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo ambapo utekelezaji wake umeanza mara tu baada ya kusainiwa...
  3. Farolito

    Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  4. Y

    Hali imekua Tete vipimo havioni tatizo

    Habari Wana jamii health Mwenzi uliopita nilikutana nawanamke kimwili nabaada ya 4day nilijihisi nina dalili za urinary infection nakuamua kwenda kupima nae. Majibu kwa upandewake yalikua 100 na zaidi lakini Mimi nilikua na infection 55. (Tuliachana kilamtu na maishayake) tulipatiwa dawa ila...
  5. Dear_me_

    Kibarua/ Nafasi ya kujifunza kazi Wakala wa vipimo

    Kwa majina Naitwa Deo Nicomedi Ninaomba kwa mwenye connection katika ofisi za wakala wa vipimo (weight and measure Agency) au makampuni binafsi ya vipimo na viwango anisaidie wakuu nipate nafasi ya kujifunza kazi yoyote/ au kibarua nitashkuru sana Nina Bach. In Industrial metrology&...
  6. M

    Kwanini bei ya baadhi ya vipimo vya afya ni kubwa zaidi?

    Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine. Swali langu ni napenda kujua ni...
  7. M

    Tofaut ya vipimo hivi ni nin MRDT na BS

    Wadau wa afya naomba tofauti ya hivi vipimo MRDT na BS
  8. Mr Why

    Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G

    Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
  9. K

    DOKEZO Wakala wa vipimo Simiyu, ni lini imegeuka Lokapu? Afisa Vipimo Mkoa ametoa wapi Mamlaka kugeuza Ofisi kuwa Lokapu?

    WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko Nyaumata pindi wanapofanya kaguzi mbalimbali za vipimo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa wamekuwa...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
  11. Faana

    Tujikumbushe vipimo vya magurudumu ya magari

    Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in millimeters. In this example, the tire is 205 mm wide. Wider tires usually offer better grip. 2. Aspect...
  12. M

    Majibu ya vipimo Electrocardiogram (ECG)

    Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
  13. Dear_me_

    Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  14. M

    Vipimo vipi vitathibitisha kuwa Figo zimefi

    Habar wakuu nauliza ni vipimo vipi vyakupima ili kuthibitisha kuwa Figo zimefi
  15. Mindyou

    Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  16. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  17. M

    Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  18. M

    Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  19. Aliko Musa

    BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  20. Roving Journalist

    Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
Back
Top Bottom