vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo. Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Vipi magabacholi wako wapi mbona hatuwaoni mitaani au weshasepa kama kawaida yao?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
  3. JamiiForums Tanzania JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

    Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Vipi kitaani kwako ni kauli ipi watu hawataki kuisikia?

  5. JamiiForums Tanzania Vipi kama Choice ni None of the Above, na Upige Usipige Itapigwa - Je unaweza kumpa Underdog kumkomoa Aliyepo ?

    Kitambo sana niliwahi kusema haya:- 2022 to be exact.... https://www.jamiiforums.com/threads/operesheni-piga-chini.2011562/ Lakini come 2025 hakuna cha mgombea Binafsi wala choices za wengi zimepigwa chini na kubaki choices za TUME; nikaingia Tovuti ya TUME kuangalia wagombea ni kina nani ili...
  6. JamiiForums Tanzania Mna-save vipi pesa?

    ??
  7. JamiiForums Tanzania Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

    Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado...
  8. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  9. JamiiForums Tanzania Uchawa umekulipa nini? Na utaenda kuishi vipi bila uchawa? Au uliishia kupiga picha na viongozi na kualikwa bungeni

    Najua ni moja kati ya maswali ambayo yanawasumbua baadhi ya vijana wakiwaza wanaenda kuishi vipi baada ya anguko la serikali ya kikoloni. Watakula nini? watalipa vipi kodi? na je ni muda wa kuanza kutumia akili zao? Nitaandika uzi kuhusu ajira kadhaa za muda ambazo machawa wanaweza kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  11. JamiiForums Tanzania Sifa na kiburi kikizidi

    Wakristo mnasemaje hapo?!
  12. JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mliofunga Dm zenu ni kwamba ni mastaa sana au vipi ?

    Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
  14. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  16. JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

  18. JamiiForums Tanzania WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
  20. JamiiForums Tanzania ACT: Vipi, bado tunashiriki uchaguzi?

    Agosti 17, baada ya kuzisikia hoja za Luhaga Mpina akiwahutubia wafuasi wake dhidi ya Rais Samia na Serikaliyake, niiandika makala tajwa hapo chini, ambayo jana Agost 26, yametimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…