vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dini zote zimeletwa tu, lakini ya hawa wenzetu sijui imeletwa vipi?

    Yani eti inasambaa taarifa mtandaoni kua trump anataka kuwashughulikia boko haram ambalo ni jambo zuri kuwashughulikia magaidi lakini kuna waislam eti wanasema 'mbona alikua hawasaidii wakristo wa Palestinea! Eti 'muoga huyo anaogopa waislam Watu wanaoua na kuchoma makanisa na kubaka watoto...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

    1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jamani WhatsApp vipi huko, inapatikana?

    Naona kama wameifungia, kwako vipi?
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Nkasi, kabwe..biashara vipi maeneo hayo? Biashara ya uvuvi je?

    wadau kwema..? Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari? Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo? Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya marufuku ya maandamano ya D9 tutarajie nini? Nani wako interested kukaidi amri hiyo? Vipi mbinu?

    Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata wapinzani wanafunga comments? John Mrema vipi?

    Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe mama huwa anamfuatilia Mange! Sasa huwa anavumilia vipi yale matusi

    Juzi kwenye hotuba yake alitudhihirishia ni kwa namna gani yeye humfuatilia Mange, sasa sijui huwa anayavumilaje yale matusi makali ya mange. Manage hupendelea kusema "... Mafy ya...yanagonga...". Kwa kweli Kuna watu Wana roho ngumu kama jiwe. Ni hayo tu 😎.
  12. JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamefunga JF na mitandao mingine ila ndio wapenzi wazuri kujiongeza kujua wanatawala vipi kwa mawazo yetu

    Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi. Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana...
  14. JamiiForums Tanzania Je sheria za nchi haziruhusu kiongozi wa nchi kujiuzulu nakama zinaruhusu ni sifa/vigezo vipi ambavyo kiongozi wa nchi akiwanavy anapaswa kung'atuka?

    Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi? Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!? Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari! Kama zipo...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

    Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
  16. JamiiForums Tanzania Yule Mbunge kiziwi atachangia vipi mijadala bungeni?

    Habari wakuu… Lengo la uzi huu sio kumbananga mbunge kwa ulemavu wake. Lengo ni kuomba kufahamishwa namna ambavyo mbunge yule wa viti maalum kutokea Zanzibar ambaye ni kiziwi atakavyokuwa anashiriki mijadala bungeni na wabunge wenzake. Maana leo nimeona clio akiapa, naona kabisa kuna tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi ya Makonda ya kupeleka Arnold Shwarznegger inasubiriwa kwa hamu WanaArusha

    Agenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha. Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vipi wadau hata VPN imezuiwa kuunganisha Tanzania?

    Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

    Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili. Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…