viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana viongozi wanashindwa kujiuzulu!

    Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues? Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao. Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

    Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi. Toka Tanzania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni vigumu kuwapata watu aina ya Edwin Mtei ndani ya CCM, wenye uwezo wa kuwashauri kwa kuwasahihisha Viongozi wa Juu

    Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
  5. JamiiForums Tanzania Hili la Muharami Viongozi waSimba mpo sahihi

    Naona baadhi ya Watu ni kama wanalazimishwa kusikiliza au kuimbishwa mapambio yanayohanikiza kwamba Simba haikufanya sahihi kujiweka mbali na hili suala lililomkuta Bw Muharami. Na hata ukiwauliza ni kwa upande upi haswa wao wanaona Simba imekosea hawana hoja ya msingi zaidi ya kung'ang'ania tu...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania iwekeze pesa nyingi kwenye waokoaji kuliko magari ya viongozi

    Afrika ili tuonekane tuna akili inabidi ifike wakati tuweke pesa kwenye "emergency responders" zaidi kuliko kuwekeza mabilioni kununua magari ya kukaa viongozi moja moja badala yake tuwekeze kwenye kuokoa raia kwenye majanga. Ajali ya precision imetuonyesha kuwa kama nchi tuko nyuma sana kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Enyi viongozi wa CCM acheni kumsingizia Mungu kwa matatizo yenu

    Mimi kama mkristu kamili. Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako". Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu. Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu. 1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe. 2...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

    Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart. Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa ni Viongozi/ Wabunge/ Mawaziri ambao unawapenda na unaombea Mungu awapende zaidi. Kwa manufaa ya Nchi

    Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii. Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi. Makamba...
  11. JamiiForums Tanzania Mvua zisiponyesha miezi 2 au 3 ijayo bado viongozi wataendelea kutupa sababu zilezile? Ikiwa uwezo wao wa kufikiri ndipo ulipoishia basi we are doomed

    Huku mtaani kwetu tunaingia wiki ya 4 sasa tangu maji yakate, kipindi wanatangaza mgao tayari ulishaanza kimya kimya sehemu kibao za jiji la Dar. Nimekaa nawaza hapa, ina maana hawa viongozi wetu wamekaa wamerelax kabisa kwamba hawana la kufanya? Hivi hawaoni kwamba this is an emergency state...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia, simama uite viongozi wa dini wamuombe Mungu toba na atuteremshie MVUA zenye manufaa. Hali ni tete kwa Taifa

    Amani iwe nanyi Hali ya ukame na ukosefu wa mvua inayoendelea katika sehemu kubwa ya ardhi ya nchi ya TANZANIA sio ngeni hapa duniani. Ukiperuzi historia utaona kuwa dola nyingi huko nyuma zilikuwa zikipata vipindi ya ukame na uhaba wa chakula unaosababishwa na ukosefu wa mvua. Kwa ambao...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Tukumbushane mazuri ya viongozi wetu

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani. Viongozi ambao wapo hai au wametangulia mbele za haki. Niwaombe wanajukwaa tufunguke yale mambo ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hoja hizi Zitto hafai kuwa kiongozi ACT.

    Sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa umma ni kuwa na maadili yanayokubalika kwa wananchi. Kiongozi wa chama cha siasa ni yule mtu anayesimama mbele kwa niaba ya chama chake kwenye maslahi ya wananchi wote bila ya kujali kama ni wanachama wake ama la. Kama kiongozi anaona kuawa kwa watu ni jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata kiongozi mwenye kichaa kupitia demokrasia, si njia nzuri ya kupata viongozi

    Kuna matatizo fulani ya akili humfanya mtu atamani kuwa kiongozi au kujiona yeye ndiye anafaa sana kuongoza. Tukianza na watu wenye kichaa (Schizophrenia) yenyewe. Dalili moja inayoweza fanya watu hawa waweze kupenda kuwa viongozi ni 'delusion of grandeur'. Hii ni ile hali ya mtu kujihisi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyosikia na kuona Viongozi na Wanasiasa Tanzania nisikilizeni kwa Makini

    Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu unachakumshauri mtu anaye kuzidi kipato au mamlaka? Sasa ni hivi ktk purukushani za siasa hasa hapa Afrika na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…