Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba.
Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
Yaani ukiangalia kiu ya wananchi ni kuona kuanzia mwenyekiti,Diwani,mbunge akimpigania haki yake ya kiuchumi na kijamii kwa uwazi kabsaa hata ikitokea kiongozi huyo atashindwa fanikiwa suala hilo,mwananchi anayepiganiwa ataendelea kumpenda kiongozi huyo maana juhudi na jitihada zake ameziona...
Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka.
Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi?
Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga mkono yale yote ambayo yapo kinyume na matakwa ya wananchi wengi badala yake wana bariki maovu yote...
Moja ya mistari inayonigusa sana katika biblia, nakunifanya nijitathmini mm mwenyewe ni mtu wa aina gani, ni Mathayo 7:20 "mtawatambua kwa matendo yao"
Wanadamu tuna hulka ya kupenda kuonekana ni watu wema mbele za watu (reputation) wakati kwa kificho tunafanya mambo ambayo tunaona aibu...
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,
Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika".
Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongoziviongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere
- Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU.
Kabla ya muungano
2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi
-...
WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST
Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba.
Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine,
Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA?
Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
Ewe mama Peter uliye square Energy is contagious Shakira anasema,Ni kweli mtu hutiwa moyo hata kuungishwa kwa kile anachokifanya kwa maslahi binafsi hata hayo ya kulijenga Taifa kama tu hakuna baya liharibulo taswira ya nchi.
Nchi Inahitaji mambo makuu manne, yaani adhi(1500miles times 1500...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi.
Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini.
Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji.
Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...