viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi za kiarabu kumwambia Trump hatutaki kumezidi kuivunjia heshima Marekani iliyokuwa taifa kubwa

    Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani. Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
  2. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya...
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Viongozi Namungo fc Jitokezeni kudai hatua zaidi baada ya uonevu mliofanyiwa, Vinginevyo ukandamizaji huu utaendelea

    Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi wa Namungo fc waandike barua na kuomba hatua zaidi zichukuliwe kwani ubovu wa maamuzi ya mwamuzi...
  6. Juuchini

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  8. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania "No Reform, No Election" mbona imewapanikisha watu kibao kuanzia viongozi mpaka wataalam wa siasa,wazee si mnakubalika, au?

    Naona kila mtu kapaniki, watu mlikuwa na matokeo yenu mkononi nini? Fanyeni siasa, si huwa mnajisifu mnakubalika na raia sasa wasiwasi wa nini!!! Iwekwe tume huru pale watu tupige kura. Watu walikuwa wanafanya upinzani kama mtaji tu. Tushachoka maigizo yenu. Hakuna nchi iliyowekeza kwenye...
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaona hii movement ya NON EMPLOYED TEACHER ORGNIZATION (NETO) msifumbe macho

    Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono Tunajua mna mabomu mna...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA 📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  14. Moaz

    JamiiForums Tanzania Njia wanazotumia viongozi wa serikali kufanya ufisadi

    Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  18. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Raia mmoja wa Burundi awahimiza wenzake kuwa makini na viongozi wao

    https://x.com/WilsonLixon/status/1890756407906939004
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Xi kukutana na viongozi wa makampuni ya kiteknolojia China

    Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo. Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say By Reuters February 14, 202512:25 PM GMT+3Updated a day ago Summary Companies Symposium is likely to be held on Monday, sources say Attendance by...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Naandika, Nafuta: Viongozi tuoneeni huruma

    Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha. Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere, Thomas Sankara, Lumumba, Nkrumah, Magufuli ni chache sana na zipinapigwa vita nje ndani. Waafrika...
Back
Top Bottom