viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  2. Kimedani: Vijana wasomi badilisheni Mbinu za kivita. Upepo wa mashambulizi umebadilika

    KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Upo kwenye Vita. Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde; 1. Nguvu kazi(jeshi) Jeshi ni wewe Mwenyewe! 2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita. Hapa...
  3. Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

    Hahahaaa. Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko? Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa. Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣. =============== Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
  4. Wafahamu Viongozi na Marais Matajiri zaidi Barani Afrika mwaka 2025

    Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
  5. Baadhi ya viongozi wa CHAUMA

    Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho. Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni. Wanne kati yao watajiunga CHADEMA. Vuta glasi ya juice...
  6. M

    PreGE2025 John Mnyika: Viongozi wa Chadema waliojiondoa kwenye chama nafasi zao kuzibwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election". Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
  7. PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  8. Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  9. R

    Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  10. Z

    Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

    Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu. Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya...
  11. PreGE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yajaza nafasi zilizoachwa na viongozi waliojivua uanachama

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi. Waliojitoa unachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa, Gervas Mgonja, Katibu wa Mkoa Basil Lema, pamoja na viongozi wengine...
  12. Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  13. Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  14. Nineamini na viongozi wa dini nao wanastahili kuwa na walinzi binafsi!

    Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro. Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k. Kabla ya hapo...
  15. M

    Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

    Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar! Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
  16. PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  17. S

    Kwanini Viongozi wengi hawajibu jumbe za watu?

    Habari Wakuu. Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi, Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu? Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa nimejaribu kutuma ujumbe kwa kiongozi fulani sio wa matusi, sio wa kutaka fadhila, bali ujumbe wa...
  18. Makamu wa Rais: Viongozi wanolazimisha penzi ofisini washughulikiwe

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi). Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
  19. Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

    Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea. Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi. Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka...
  20. Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…