Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda, wanamtusi na kumkashifu Magufuli.
Kwania njema kama kuna wadadavuaji wa mambo ya imani, ni kundi lipi...