viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

    Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40. Naona hili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  3. JamiiForums Tanzania Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

    Wanajukwaa habari za siku...! Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha. Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Viongozi wanapaswa kujifunza kutoka kwa panya Magawa

    MAMBO AMBAYO VIONGOZI WANAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MAGAWA. Kwanza nianze kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo cha panya shujaa Magawa aliyekuwa mahiri katika kazi yake ya kutegua mabomu yaliyotegwa ardini. Katika makala haya tutaeleza mambo kadhaa ambayo vionozi wanapaswa kujifunza...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nani wa kusimama badala ya wapinzani wanapoumizwa na maamuzi ya viongozi wao?

    Leo nimekuja na swali mahususi kwa wapinzani lakini pia linaweza kuulizwa hata kwa CCM ikiwa nao wataanza kurithi tabia hii ya wapinzani ya kususa. Watu wana ndoto na mipango wanapojiunga na siasa na kwa siasa zetu zinafanyika kupitia vyama hivyo ninaweza kusema ndoto na mipango ya kisiasa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Viongozi wasitumie tena maneno yafuatayo kwenye hotuba zao

    Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi. Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa. 1. Serikali ya Samia imekopa. 2. Rais amekopa. Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi. 1. Nchi imekopa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa afya za viongozi wa ngazi za juu ziwekwe wazi kila baada ya kipindi fulani?

    Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi, mfumuko wa bei huu...
  12. JamiiForums Tanzania Kufuatia vifo watu 14 wakiwemo waandishi 6, Rais toa maelekezo misafara ya viongozi

    Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima. Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
  13. JamiiForums Tanzania Neno fupi kwa viongozi wanaotokana na CCM

    Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla. Katiba ni kama business plan. Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na teknolojia kubwa. Tukishndwa kuwa na maono mazuri na Taifa letu miaka mingi ijayo tutabaki nyuma ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, CCM ina uthubutu wa kuunda 'task force' ya kuchunguza mali za wanachama wao Viongozi serikalini?

    Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita. Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Somalia wakubaliana kuhusu Uchaguzi wa Bunge

    Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo lililotatizika kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, hatua hiyo imefikiwa baada...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia picha ya binti wa Mtuhumiwa Mohamed Ling'wenya inayosambaa, Watanzania tukubali tuna viongozi katili wasio na utu

    Baba anajitolea kulinda Taifa, anafukuzwa kazi nakurejea Uraini. Anatafuta kazi yakumwezesha kulisha familia, Kwa kuwa hakufanikiwa kusoma sana na kwa kuzingatia ugumu wa Maisha uliopo na hili asiibe anaamua kuwa mlinzi anayelipwa ujira mdogo lengo alishe familia na kuepuka kuwa mwalifu...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania(wengi) hawajawahi kuomba kazi katika maisha yao

    Kama ulishawahi kutafuta kazi na kupata kwa maana ya kutuma maombi kwanza kujipima hata kama unastahili tu kutuma maombi, kuwa short listed kuitwa Interview ya kwanza na ya pili na mwishowe kushinda na kupata kazi, basi utaelewa ni jinsi gani ilivyo ngumu kupata kazi na nini ufanye ili...
  18. JamiiForums Tanzania Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa yanga kwenye hili la timu ya wanawake mmelala usingizi wa pono amkeni mnatuaibisha

    Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…