viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania "Fix" nyingi za Viongozi wetu mbeleni zinaenda kuua Taifa. Tuwafundishe Historia ya kweli vijana wetu

    1. Madarasa, madawati, hospitali, maji ya Samia. Vya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli havisemwi, kana kwamba hawakufanya lolote. 2. Viongozi wengi Uchaguzi 2020 walipitishwa tuu kwa nguvu nguvu, uwongo unatamalaki, vijana wetu wanaona, kesho na wao watadanganya vivyo hivyo. 3...
  2. JamiiForums Tanzania Udhalimu wa viongozi ndio Ajira ya Wanaharakati

    Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya. Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au watawala. Ukiona hali ya hewa ipo kimya na wanaharakati hawana cha kusema, basi ujue viongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

    Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa . Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
  5. JamiiForums Tanzania Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

    Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi. Awali Mazrui alikuwa waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto. ================...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yakiri makosa kuwalazimisha Wafanyakazi wa Umma kununua laini ya simu ya TTCL

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa mkwara kwamba wasipokuwa na line ya TTCL watang'olewa kwenye uongozi, lengo la jambo hilo kwa akili...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi sio tatizo, ni viongozi

    Binafsi sidhani kama kulichunguza Jeshi la Polisi kutaleta ufumbuzi wa matatizo yanayolalamikiwa na wananchi. Tatizo la Jeshi la Polisi ni viongozi wake. Viongozi wa Jeshi la Polisi hawana weledi, uadilifu ktk utendaji kazi wao viongozi wa jeshi la polisi wapo kimaslahi na kisiasa, ukienda...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  10. JamiiForums Tanzania Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wanaohubiri usafi Wa mazingira wanatakiwa kufanya hivi

    Serikali kupitia halmashauri zake imekuwa ikisisitiza sana suala la usafi wa mazingira mitaani, na hata kufunga biashara ikiwemo maduka kwa saa kadhaa kwa kinachodaiwa kuwa ni siku ya usafi hivyo kila Mwananchi aingie mtaani kufanya usafi. Kuna ugumu gani Wananchi wangewezeshwa kwa kuwekewa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dodoma Jiji chukueni tahadhari

    Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa kama Mimi ni mnazi wa timu flani si ni rahisi kuwarubuni? Timu zetu za kariakoo zina watu maeneo...
  16. JamiiForums Tanzania Vikwazo vya kiuchumi kwa mabilionea Russia ni funzo kwa Mafisadi na viongozi wa serikali mbalimbali duniani wanoiba mali na fedha na kuzificha nje

    Russia inashambuliwa kiuchumi kila kona kwa nguvu zote na matajiri wakubwa wajulikanao kama "Oligarchs" wanazuiwa mali zao katika mabenki mbalimbali duniani. Hiyo ni kufuatia nchi mbalimbali duniani zikiongozwa na Marekani na Uingereza kuamua kuiweka vikwazo vya kiuchumi Russia baada ya nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

    Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii . Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi ======= VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Watanganyika do we have "BALLS"

    1. Wazanzibari walipoambiwa Zanzibar kuna mafuta walipambana hadi wakaondoa mafuta kwenye mambo ya Muungano lakini bado hela ya madini ya Mererani inaenda kununua CT scan hospitali za Pemba. 2. Wamepambana kuondoa bandari ya Zanzibar chini ya TPA na kuanzisha mamlaka yao ya bandari lakini bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…