viongozi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Viongozi na wanasiasa ishini vizuri na raia, kuna kifo na ukifa ukiwa na ubaya na raia basi watafurahia kifo chako

    Kuna tabia inayozidi kujitokeza na kukua siku hadi siku katika jamii—wananchi kuonyesha kufurahia vifo vya baadhi ya viongozi au wanasiasa. Ukichunguza kwa kina, hali hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na mwenendo wa baadhi ya viongozi kuishi maisha yasiyo rafiki kwa wananchi wanaowaongoza. Pale...
  2. Sifi Leo

    Pascal Mayalla na mwenzake waendeleza ligi dhidi ya JAB, Asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila uhuru wake wa kutoa maoni usiingiliwe

    Ngoma bado NZITO, ahahahaa Pascally Mayalla na mwenzake kupitia jambo Tv wako liveeeee! Pascally asema anawaheshimu viongozi wa serikali ila hawaogopi, asema uhuru wake aliopewa na katiba ibara ya 18 uheshimiwe usiingiliwe. Soma JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba...
  3. Mto wa mbu

    90% ya waliohojiwa na Tume ya jaji Othman ni Makada wa CCM na viongozi wa Serikali

    Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla Wassira Jaji Mtungi Ma polisi Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
  4. Yoda

    Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  5. Tajiri wa kinyankole

    Watanzania tutaendelea kuisoma namba. Amani inahamasishwa na viongozi wa serikali haki ikibaki nyuma na utekaji ukiendelea

    Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao. Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea? Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
  6. Tajiri wa kinyankole

    Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  7. Kimbesa11

    Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana na Serikali za mitaa turudishieni jeshi letu la Sungusungu tupo tayari kuwachangia Kila mwezi

    Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu. Sisi wananchi tupo tayari kuwachangia posho kwasababu kazi zao tunazikimbuka vile zilikuwa na tija kwa ustawi wa serikali zetu...
  8. Sifi Leo

    Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  9. REJESHO HURU

    PostGE2025 Viongozi wa Serikali kilichotokea Oktoba 29 siyo janga la asili, hatuitaji pole tunahitaji uwajibikaji

    Inauzi sana kuona kiongozi wa serikali anakuja mbele ya camera ooh pole tuvumiliane sijui nini maneno kibao yote hayana maana zaidi ya kutonesha vidonda na kupandisha hasira upya wananchi Kilichotokea octoba 29 siyo tetemeko, siyo radi, siyo kimbuga wala ajari iliyosababisha watu kufa ni jambo...
  10. Carlos The Jackal

    Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  11. Carlos The Jackal

    TEC ipige Marufuku Upigwaji wa Picha pale Viongozi wa Serikali wanapowatembelea TEC kwenye Maofisi yao!!

    Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao. Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari pale ambapo Picha hizo zitatumiwa vibaya. Ni haki ya Kiongozi wa Dini Kukataa kupiga Picha na...
  12. H

    Nawashauri viongozi wa serikali ya TANZANIA kubadilisha mfumo wa maisha yao kunguza nafasi iliyopo

    Viongozi wa Tanzania wamejisahau aidha kwa kujiona wao ndiyo wanafaa kuishi maisha mazuri kuliko waliowaweka kwenye nafasi husika aidha kwa kukodi za wananchi au kura za wananchi. Viongozi wengi wamekuwa ni mzigo kwa wananchi kwa kuishi maisha ya anasa wawapomadarakani na matumizi ya kutisha...
  13. Tajiri wa kinyankole

    Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  14. Parabolic

    GE2025 Deo Munishi awasilisha ujumbe wa CHADEMA Ujerumani

    Leo tarehe 11 Sept, 2025, Katibu wa Mahusiano ya Kimataifa Chadema Deo Munishi amehitimisha ziara maalumu nchini Ujerumani kwa kukutana na wabunge pamoja na maafisa waandamizi wa serikali ya taifa hilo kwa shabaha ya kuwasilisha ujumbe maalumu wa chama juu ya anguko la demokrasia na...
  15. Rorscharch

    Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  16. Mshana Jr

    Andiko la maoni ya kijamii kuhusu matumizi ya viongozi wa serikali kwenye matukio ya taasisi binafsi – KCB Geita

    Tarehe: ___ Mwandishi: Mwananchi mzalendo kutoka Mkoa wa Geita UTANGULIZI Katika wiki ya pili ya mwezi Agosti 2024, taifa lilishuhudia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko, akizindua tawi la benki ya KCB (Kenya Commercial Bank) katika Mkoa wa Geita. Tukio hili limeacha...
  17. Tajiri Tanzanite

    Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  18. evangelical

    Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  19. Fbn

    Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa basi hata nyie viongozi wa serikali tunaomba msichangaye kuomba amani na sera zenu kwenye dini

    Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija kwenye dini kuungana tuwaone kama waumini wala sio viongozi sababu dini mjaitaka kuwa na siasa...
  20. Just Pray

    Mbunge Bwege: Walinipa kesi ya uongo kuwa mimi nataka niwaue viongozi wa serikali na CCM Mahakama ikatupilia mbali

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
Back
Top Bottom