viongozi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Munishi awasilisha ujumbe wa CHADEMA Ujerumani

    Leo tarehe 11 Sept, 2025, Katibu wa Mahusiano ya Kimataifa Chadema Deo Munishi amehitimisha ziara maalumu nchini Ujerumani kwa kukutana na wabunge pamoja na maafisa waandamizi wa serikali ya taifa hilo kwa shabaha ya kuwasilisha ujumbe maalumu wa chama juu ya anguko la demokrasia na...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Andiko la maoni ya kijamii kuhusu matumizi ya viongozi wa serikali kwenye matukio ya taasisi binafsi – KCB Geita

    Tarehe: ___ Mwandishi: Mwananchi mzalendo kutoka Mkoa wa Geita UTANGULIZI Katika wiki ya pili ya mwezi Agosti 2024, taifa lilishuhudia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko, akizindua tawi la benki ya KCB (Kenya Commercial Bank) katika Mkoa wa Geita. Tukio hili limeacha...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  5. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa basi hata nyie viongozi wa serikali tunaomba msichangaye kuomba amani na sera zenu kwenye dini

    Ni neno gumu nililoweka hapo juu ili viongozi waache na wao kutumia dini kujificha kwenye tawala zao. Tunaomba hata kuhapa wasishike misaafu na biblia sababu wao washasema dini sio siasa. Wakija kwenye dini kuungana tuwaone kama waumini wala sio viongozi sababu dini mjaitaka kuwa na siasa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bwege: Walinipa kesi ya uongo kuwa mimi nataka niwaue viongozi wa serikali na CCM Mahakama ikatupilia mbali

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
  8. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mwamposa anaposifia viongozi wa serikali hajaingiza siasa kanisani, Ila Gwajima anapozungumza ukweli anaingiza siasa kanisani

    Huku ndipo serikali ilipofikia. Magufuli pamoja na ukali wake wote, pamoja na mvutano mkubwa baina ya wateule wake na Gwajima, hakuwahi kuthubutu kumfungia Kanisa.Unajua kwanini? Mahala ambapo neno la Mungu linahubiriwa, mahala ambapo watu wanapata huduma ya kiroho ni mahala ambapo hata kama si...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Padre Kitima amewazuia watumishi wa serikali wasiende kumtembelea hospitalini

  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni nani kaliroga Tanzania? mpaka sasa tuko busy kulinda kiti cha Rais

    DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia nazo wanawaza namna ya kuvuna rasilimali toka kwenye mataifa ya wajinga. Sisi Tanzania mpaka sasa...
  12. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Oddo Mwisho: Tufanyekazi kwa ushirikiano kutekelezaji Ilani ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amesema Serikali inatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo ni wajibu wa viongozi kushirikiana na chama ili kuhakikisha kuwa ilani ya CCM inatekelezwa. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wahoji juu ya mapato ya 10% wanayotoa wakati wa uuzaji wa viwanja, wawataka viongozi wa serikali za mitaa kuwasilisha ofisini

    Baadhi ya wakazi wa kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamewaomba viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo yao kuwasilisha asilimia 10 ofisini zinazotokana na wananchi kutoa baada ya kuuza maeneo yao. Hayo yamebainishwa leo Marchi 19, 2025 na baadhi ya wakazi wa mtaa...
  19. Moaz

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Viongozi wa Serikali Waache Unafiki wa Kujifanya Wanapambana na Ufisadi?

    Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga kuwahadaa wananchi. Zifuatazo ni sababu kwanini viongozi waache tabia hii. 1. Wananchi Wanaanza Kuzinduka...
  20. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

    Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara. Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na ukweli wowote juu ya mambo yanayo endelea shule. vijana wengi wamekua ni wavivu wa kuhudhuria shule...
Back
Top Bottom