viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waenda Mapumzikoni Ulaya baada ya ziara ya +255

    Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
  2. JamiiForums Tanzania Abdudlquarim Malisa naye Ajitokeza Kumuomba Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA Msamaha

    Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2 Naye Mjumbe wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

    Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu. Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni Mbowe...
  4. JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  6. JamiiForums Tanzania UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  8. JamiiForums Tanzania Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  9. JamiiForums Tanzania Masauni: Hakuna sababu viongozi wa CHADEMA kutorejea nchini. Asema Tanzania ni salama

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje ya nchi kutorudi Nchini ili waje kutumia fursa zilizopo za maendeleo pia kushiriki kutoa mchango wa...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao. Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya viongozi wa CHADEMA yapigwa kalenda hadi Desemba 23, 2019

    Kesi Na. 112/2018 inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA na baadhi ya wabunge katika Mahakama ya Kisutu Dar es salaam, leo imeaihirishwa hadi Desemba 23/2019, saa 3 asubuhi, Shahidi wa 6 (D.W.9) Ester Bulaya (Mb) akitakiwa kupeleka hati yake ya kusafiria ndani ya saa 2 leo hii. Sababu nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…