viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

    "Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

    "Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni kielelezo kizuri cha uzalendo

    Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka. CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi. Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Singida Wamlilia Rais Samia Kuhusu Kesi ya Mwenyekiti wao"

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe tamko la kuachiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho ambaye anadaiwa kukabiliwa na kesi ya uhani...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM GEITA: Kikao cha viongozi wa CHADEMA Bagamoyo lengo kuu lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani kwa sababu wao sio Watanzania

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa 2025 wa kuwachagua Rais wabunge na Madiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mvutano mkali kati ya Viongozi wa CHADEMA na Polisi Ruvuma baada ya Mkutano wa Hadhara Kuzuiwa

    Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Songea. Katika video hii inamuonyesha Makamu Mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrobas Katambi ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA

    Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama

    Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake. Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya malalamiko kuhusu Uteuzi wa viongozi watendaji na wajumbe wa kamati kuu CHADEMA imewafikia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia. Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  17. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na Mbowe uso kwa uso kwenye kikao cha Baraza Kuu CHADEMA 2025

    Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano muhimu unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa chama kuelekea kesho Januari 21 kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kulikoni vyombo vya habari kuwapa viongozi wa CHADEMA nafasi yani airtime kubwa hivi kipindi hiki?

    Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?! Miezi kadhaa hapo...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama

    Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama. "Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
  20. JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…