Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli
Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani.
Swali kuu linapaswa kuwa: Je, anayosema sasa ni ya kweli au la? Badala ya kurukaruka na kubeza, tujibu...