Wanajukwaa tushee Stress za mapenzi na vioja vyake

SamBug

Member
Sep 24, 2021
49
45
Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya 💯💯
Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali

Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo;

1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket
2,Kuchomeka Kadi ya mpiga Kura kwenye ATM
3,mwanachuo kufanya mtihani na kuandika cover page na reference
4,kuwasha garj na funguo ya kitasa

Karibuni tuendelee
 
Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya
Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali

Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo;

1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket
2,Kuchomeka Kadi ya mpiga Kura kwenye ATM
3,mwanachuo kufanya mtihani na kuandika cover page na reference
4,kuwasha garj na funguo ya kitasa

Karibuni tuendelee
Kutafuta simu HUKU umeishika na unaongea na mtu kwenye simu anakuuluza mbona hunijibu VZR unamwambia sijui simu iko wapi NDIO natafuta
 
Hesabu ndogo ilinishinda Yani 1500+1500! Mapenzi kiboko..🤣 nikiwaza 1500 naijumlisha na jina lake badala ya 1500 nyengine!. Ghafla nikasikia sauti ndani yangu "hivi wewe bata utatutesa mpk lini" hapo viungo vyangu vinanilaumu sasa
 
Hapo ndo unakumbuka tabu iko pale pale 😂😂😂
 
Unamwambia mama yako akuache coz mapenzi umeanza kabla yake 😂😂
 
Kuondoka nyumbani bila kujua unakokwenda mwisho unazungu unachoka ndio akili inarudi.

Unapigiwa simu na mtu mhimu mnaongea Mambo mhimu na kila kitu unamjibu vizur ila baada ya mda unagundua amna ulichoelewa

Kabla ujapata hzo stress unakuta kuna pisi kali ulikua unaifukuzia ila kwa wakat huo ata ikupigie simu ikutongoze wewe unaona et utamsalit aliekuacha
 
Back
Top Bottom