vikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwigulu: Wanaokaa vikao kwamba huyu tumfanyeje, niwaambie hamnifanyi kitu. Utotoni nishahangaika na simba na chui na hawakunifanya kitu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa baadhi ya watendaji wanaodaiwa kukaa vikao kupanga njama dhidi yake, akisisitiza kuwa hatishwi na vitisho vya aina yoyote. Akiongea Leo Machi 04, 2026 na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, amesema kuwa maisha yake yamejengwa...
  2. Desierto

    Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

    Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
  3. kagoshima

    Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  4. Mbepo yamba

    Bado hamjasema. Vikao mnafanyia hemani?

  5. Genius Man

    Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

    Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za tesha. Kama makapteni watampigia kura nyingi kwenye kuunga mkono tamko la shujaa tesha mkuu wa majeshi wala raisi hawezi kuzuia. Tesha ameongelea mauwaji na utekaji, na ufisadi vitu ambavyo sio siasa kwa kweli bali...
  6. Idugunde

    GE2025 CCM imeshatambua kuwa haikubaliki. Vikao vya ndani kila kona kuomba kura za huruma huku hakuna upinzani toka CHADEMA ya Lissu

    Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
  7. ELI COHEN

    Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  8. ndege JOHN

    Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

    Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama. Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
  9. Tlaatlaah

    Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  10. Poppy Hatonn

    Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  11. Zanzibar-ASP

    NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  12. Genius Man

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
  13. Nyoka kibisa

    GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  14. Zanzibar-ASP

    Je, tetesi zakuahirishwa kwa vikao vya juu vya CCM ni matokeo ya Polepole kupiga kwenye mshono?

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla. Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake? Muda utakuja kusema mengi.
  15. ngara23

    Jukumu la Mangungu pale Simba ni kufungua na kufunga vikao tu

    Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya 1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi Mkubwa...
  16. funaku

    BUNGE LIWEKE KANUNI-Mchango wa Mbunge utokane na vikao halali vya wananchi ngazi ya chini

    Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi. Badala yake bungeni...
  17. Equation x

    Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  18. Ziroseventytwo

    Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  19. chiembe

    Lissu, G55 ambao huwajui uko nao katika ziara na vikao, uchaguzi wa chama unaonyesha hukupata kura za wajumbe kwa asilimia 49.

    Lissu hakupata kura za wajumbe kwa asilimia 49, hizo zilienda kwa mstaafu, bado wapo, na huwa unawatukana katika mikutano yako. Wengine wako na wewe kimkakati, lakini ni G55, unafanya nao ziara na vikao. Baadae wanageukiana wanacheka halafu wanasonya. Hizo asilimia zikibadilika zinaweza...
  20. chiembe

    Je chadema itaunda vikosi vya kuvamia vikao vya vyama vingine vitakapokuwa vinapitisha wagombea wao, au watawatishia maisha wagombea?

    Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
Back
Top Bottom