vijiji

Operation Vijiji (Operation Villagisation) was an exercise in social engineering carried out in post-colonial Tanzania in 1973. The operation involved the relocation, sometimes forced, of many thousands of rural Tanzanians to Ujamaa villages in order to facilitate communal farming and common services. The intention was that the whole rural population would move by 1976. The project was, and still is, controversial and was abandoned in the 1980s. Many people then attempted to return to their former homes, leading to widespread land disputes.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Vijiji vingi vilivyopo nje ya Africa ni vizuri sana

    Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi ya mitaa mizuri at least, ingawa bado inasumbuliwa na slums pia Sasa ukija kwenye vijiji vyetu, ni...
  2. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  3. L

    Muunganiko wa maendeleo ya miji na vijiji nchini China yahimiza ukuaji wa miji

    Mwanzoni wakati China inaanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, serikali ilichagua maeneo ya mashariki kuwa ya mwanzo kujipatia maendeleo. Baada ya maeneo hayo kupiga hatua yakaanza kutumia uwezo wake kiuchumi kuhimiza maendeleo ya maeneo ya magharibi yaliyokuwa nyuma kiuchumi...
  4. The Palm Beach

    GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  5. Equation x

    Tuboreshe umoja na mshikamano kwenye vijiji tulivyotoka

    Wote tuliomo humu, tukaanzishe timu za mipira kwenye vijiji tulivyotoka. Lengo likiwa ni kuwaboreshea mazingira ya umoja na mshikamano, na pia iwe kama mchango wako katika jamii ulikotoka. Kama unaweza kufanya mengi zaidi, itakuwa vizuri zaidi. Sio tu, wasubiri mpaka ufe ndio wakusaidie...
  6. P

    Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  7. Wakusoma 12

    Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  9. Just Pray

    Naibu Waziri TAMISEMI: Tunapanga kuboresha posho za wenyeviti wa vijiji

    “Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
  10. M

    Miji na vijiji vinavyokuwa kwa Kasi Tanzania unaweza kimbilia kutafta pesa huko

    Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu ( high populations more opportunities ). Huu Uzi nakutajia miji na...
  11. bulajunior

    Kama Watanzania ungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo

    Kama Watanzania tungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo ajabu ni kwamba watu wanaangalia vichekesho tu vya kina side na Leonardo jamani crip za Simba na Yanga ndo zinapotezea muda watu.
  12. Wakusoma 12

    Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  13. Nipe Maji

    PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
  14. Just Pray

    PreGE2025 MIZANIA Usambazaji wa Umeme umefikia asilimia 100 ya vijiji vya Tanzania

    Wakuu Salama? Katika pitapita zangu mtandao wa X nimekutana na Post hii ambayo inadai usambazaji wa umeme kwa vijiji vya Tanzania ni asilimia 100, na nimkekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema hilo. JamiiCheck mtusaidie hapa ni upi uhalisia?
  15. ndege JOHN

    Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
  16. Just Pray

    Longido Arusha: Shirika la World Wildlife Fund (WWF) lapeleka miradi ya unenepeshaji mbuzi vijiji 4 kulinda uhifadhi

    SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya unenepeshaji wa mbuzi, ili kuwasaidia wananchi hao kuwa na kipato mbadala,kitakachowasukuma kuachana na...
  17. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  18. milele amina

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  19. mdukuzi

    Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

    Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa. 1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo kuchangia msiba ni lazima,usipochanga utadhalilishwa kwenye mkutano wa kijiji au kitongojina kulipishwa...
  20. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
Back
Top Bottom