vijana

  1. Agosti 12: Siku ya Vijana Duniani (International Youth Day)

    Siku ya Vijana Duniani inaadhimishwa kila Agosti 12 kutambua na kupaza sauti kuhusu umuhimu wa ushiriki wa Vijana katika Masuala mbalimbali Siku hii inasisitizia Haki za Vijana kupata Elimu, Ajira, Huduma za Afya, Huduma za Kifedha na kushiriki katika Jamii CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA Kwa...
  2. Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  3. K

    Rais Samia wakumbuke vijana waliomaliza Mkataba JKT, Mirerani

    Nawasalimu wanajamvi, Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna vijana tunakutana nao mtaani wamelitumikia JKT miaka 3 hadi 4 katika shughuli mbalimbali. Hivyo hawa...
  4. B

    Siku ya vijana duniani

    Mawazo ya kuwepo kwa siku ya kimataifa ya vijana yalitolewa mnamo mwaka 1991 na vijana waliokusanyika mjini Vienna nchini Austria kwa ajili ya kipindi cha kwanza cha jukwaa la dunia la vijana la mfumo wa umoja wa mataifa. Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa ulisherehekea mwaka wa kimataifa wa...
  5. Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  6. R

    Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  7. SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  8. SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Chemsha bongo! Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali? Ukweli ni kwamba vijana...
  9. Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  10. J

    Mo Energy: Kinywaji pendwa cha vijana

    Mada nyingi zimeshatolewa hapa jukwaani zikielezea hatari za utumiaji wa kupindukia wa vinywaji vya kusisimua, kwa lugha ya kigeni “Energy Drinks” hususan kwa vijana. Leo ningependa tujadili athari kubwa inayosababishwa na chupa zilizotumika za kinywaji hiki kutokana na kuzagaa ovyo kwenye...
  11. K

    Je, viongozi vijana wanatumia madaraka vizuri? Wanastahili nafasi zao?

    Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi. Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe? Je, hawa vijana watatumia madaraka...
  12. SoC02 Michezo ya kamari inavyoathiri ukuaji wa uchumi kwa vijana

    Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana kuhusu uhalali wake. Asilimia kubwa ya washiriki hasa katika mchezo huo ni vijana ambao wanakuwa...
  13. SoC02 Mageuzi ya Sayansi na Teknolojia ni fursa kwa vijana

    MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia? Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
  14. J

    Ya Ally Hapi yaendelee kuwakumbusha vijana, madaraka ni koti la kuazima

    Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi. Hapi ambaye...
  15. C

    SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  16. Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  17. A

    SoC02 Elimu, Vijana na Maendeleo

    ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta maendeleo ambayo tunayashuhudia sasa katika nyanja zote, kiuchumi, kijamii na...
  18. M

    SoC02 Vijana na changamoto za ajira

    VIJANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA ✔️Kipindi Cha hivi karibuni kumekua na kasumba ya waajili wengi kutaka waombaji (vijana) kuwa na uzoefu usiopungua miaka mitatu. ✔️Leo nataka nizungumzie hili swala kwa uchungu Sana, maana imekua ngumu Sana kupata ajira kwa kijana alietoka moja kwa moja chuo...
  19. Kilio cha connection kwa vijana

    Kilio cha connection kimekua kikubwa sana huku mtaani kiasi kwamba ishaaminika ndio njia ya uhakika kupata ajira mpaka kupekelea baadhi ya watu ambao wanashikilia vitengo vizuri uko maofisini kuonekana wabaya kwa sababu hawatoi fursa za connection kwa vijana wanaotafuta ajira Ukweli ni kwamba...
  20. R

    SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…