Agosti 12: Siku ya Vijana Duniani (International Youth Day)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Siku ya Vijana Duniani inaadhimishwa kila Agosti 12 kutambua na kupaza sauti kuhusu umuhimu wa ushiriki wa Vijana katika Masuala mbalimbali

Siku hii inasisitizia Haki za Vijana kupata Elimu, Ajira, Huduma za Afya, Huduma za Kifedha na kushiriki katika Jamii

CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA

Kwa Mujibu wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), Mlipuko wa COVID-19 umewaumiza zaidi Vijana kuliko kundi lingine lolote katika Masuala ya Ajira

Idadi ya Vijana wasio na Ajira Duniani inakadiriwa kufikia Milioni 73 Mwaka 2022 kutoka Milioni 75 ya Mwaka 2021. Vijana wanaweza kuwa nguvu kubwa ya kuchochea Maendeleo ikiwa watapata maarifa na fursa wanazohitaji ili kustawi

VIJANA NA DIGITALI

Majukwaa ya Kidigitali yamefungua Fursa mbalimbali kwa Vijana ikiwemo Ajira, Ujasiriamali, Ubunifu, Maarifa/Elimu na kuongeza Ushiriki wao katika Masuala ya Kisiasa na Kidemokrasia

Ujuzi wa Kidigitali umekuwa hitaji muhimu katika maisha yetu ya kila siku, lakini kundi kubwa la watu bado linaachwa nyuma kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama za Huduma za Intaneti

Ili kuziba pengo hili na kuvuna manufaa ya ukuaji wa Teknolojia kikamilifu, ni muhimu kuhakikisha Huduma hii inawafikia watu wote

=======

Youth can be a positive force for development when provided with the knowledge and opportunities they need to thrive. Today, there are 1.2 billion young people aged 15 to 24 years, accounting for 16 per cent of the global population . By 2030—the target date for the Sustainable Development Goals (SDGs) that make up the 2030 Agenda—the number of youth is projected to have grown by 7 per cent, to nearly 1.3 billion.

The ILO confirms that the COVID-19 pandemic has hurt young people, regarding employment, more than any other age group. The Global Employment Trends for Youth 2022 report finds that the pandemic has exacerbated the numerous labour market challenges facing those aged between 15 and 24 years, who have experienced a much higher percentage loss in employment than adults since early 2020. The total global number of unemployed youths is estimated to reach 73 million in 2022, a slight improvement from 2021 (75 million) but still six million above the pre-pandemic level of 2019.

The objective of International Youth Day 2022 is to amplify the message that action is needed across all generations to achieve the Sustainable Development Goals (SDGs) and leave no one behind. It will also raise awareness on certain barriers to intergenerational solidarity, notably ageism, which impacts young and old persons, while having detrimental effects on society as a whole.

Ageism is an insidious and often an unaddressed issue in health, human rights and development, and has bearings on both older and younger populations around the world. In addition, ageism regularly intersects with other forms of bias (such as racism and sexism) and impacts people in ways that prevent them to reach their full potential and comprehensively contribute to their community.

The Global Report on Ageism launched by the United Nations in March 2021 highlights that despite lack of research, young people continue to report age-related barriers in various spheres of their lives such as employment, political participation, health and justice. The report also identifies intergenerational interventions as one of the three key strategies to address ageism. Intergenerational activities can also lead to a greater sense of social connectedness and strengthen intergenerational solidarity.

Solidarity across generations is key for sustainable development. As we navigate the third year of the COVID-19 pandemic, it is especially important to recognize and address these age-related barriers to “build back better” in a manner that leverages all generations’ strengths and knowledge.
 
Back
Top Bottom