vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

    Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao. Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
  2. JamiiForums Tanzania Je kesi ngapi bandia zipo mahakamani?

    Najaribu kutengeneza picha ya kihindi tu mimi ndiye director wa film, nitaongea na vijana wangu toka ndani ya idara yangu ambao siyo maarufu na kuwaambia tutengeneze filamu nzuri sana, na nyie mtakamatwa na kuwa wauaji Mtasota rumande kesi itasikilizwa harakahaka, karibu na uchaguzi mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Vijana katika michakato ya Kidemokrasia Nchini kujadiliwa katika Wiki ya Azaki

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wa skauti wanaruhusiwa kusimamisha magari na piki piki?

    Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki yako pale Ilibidi nishuke nimfuate nimchape kibao kwanza na nikamuuliza wewe huna sare yoyte...
  6. JamiiForums Tanzania Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  8. JamiiForums Tanzania Ujana bora ni kuwa na nini?

    Kipindi chako cha ujana umri wa miaka 22-25 ulikuwa unamiliki nini cha thamani ili nipate motivation ya utafutaji.
  9. JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

  10. JamiiForums Tanzania Vijana nendeni mkafanye interview punguzeni malalamiko...

    Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
  11. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Vijana na ulevi

    Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  14. JamiiForums Tanzania Tayari, keshaumia anatoa kamasi tu huko chini.

    Tukisema tumieni condom muwe mnaelewa basi. Uzi kwisha!
  15. JamiiForums Tanzania Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000's namna wanahesabu mapito yao! Gen-Z

    Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani! SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

    Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini °Ulevi wa pombe °Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya °Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi °Kamari na betting °Ushabiki wa mipira simba na yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa vijana

    1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto. 2. Acha Kabisa Kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…