vijana

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chongolo: Amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo amewataka vijana wa bodaboda kujiepusha kutumiwa katika uhalifu wa mpakani hususan uvushaji wa bidhaa za magendo. Akizungumza na kikundi cha bodaboda cha Itumba wilayani Ileje akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo kwa ajili ya kukagua...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida yakabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia Messos,akizungumza jana wakati wa hafla ya kutoa mikopo hiyo alisema baada ya dirisha kufunguliwa jumla ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga kuwawezesha wanufaika kukuza shughuli zao za kiuchumi na kujitegemea, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ridhiwani akabidhi hundi ya mil 730 kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu Muheza

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ya Muheza Jijini Tanga. Akizungumza...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Yaainisha Mikakati ya Kuwawezesha Vijana Kushindana Kwenye Soko la Ajira

    BUNGE limeelezwa mikakati mitano inayofanywa na serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana nchini na namna kumudu ushindani kwenye soko la ajira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema hayo Februari 10, 2025...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  7. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa vijana wa kiume; Kuwa makini sana usijekuwa "RETIREMENT PLAN" ya mwanamke yoyote kwenye dunia hii

    Habari za muda waungwana wa hapa jamvini........ Hakika ujana una harakati na changamoto nyingi sana....... Kijana Umekuwa katika mazingira magumu huku ukiipata elimu kwa tabu kutokana na uchumi wa wazee wako...... Umeyashinda magumu hatimaye umeihitimisha safari yako ya kielimu na kuingia...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanapenda kutunza wazazi wao ila uchumi binafsi umewakaba koo

    Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

    Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida. Kiukweli maongezi yao...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Vijana kama wazazi wenu wapo hai watunzeni

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu katika familia na wakili wa Mwenyezi Mungu hapa duniani. Dkt Mpango ameyasema wakati wa ibada ya misa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana hawataki kuoa kwa sababu wana njaa!

    Wana-JF, mimi nawasalimia. Kwa muda sana natafakari haya maisha ya hawa vijana hususani wa kitanzania, ambao wanakataa ndoa. Kwa tafiti zangu 'informal', nimebaini kuna tatizo kubwa sana linapelekea hili. Nalo si jingine, ni NJAA. NI wazi, usipokula lishe bora, hata akili yako haifikiri vema...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu

    Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
  14. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

    Starehe - Ferooz & Prof J “Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay**a , vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika, I am very sorry kupoteza nguvu ya Taifa” Asante min -me kwa kunikumbusha hii ngoma jana.
  15. JamiiForums Tanzania Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

    Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa. Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu. 'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

    Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa kihaya - mnaitwa 🙌🏽

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM KUSOMESHA VIJANA WOTE NCHI NZIMA BURE

    Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%.. Nawashauri chadema na wao waombe pesa za wazungu wawasomeshe vijana ili iwe kivutio kwao. Vyenginevyo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Ukweli usemwe na uwekwe wazi Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi Inasikitisha sana SAYUNI BOY
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa sasa CHADEMA hawajengi hoja, wanatumia jazba kujibu hoja

    Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja. Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…