vijana

  1. Serikali pangisheni yaliyokuwa majengo ya Wizara na Taasisi mbalimbali DSM vijana tupate ofisi na ninyi mpate kodi

    Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa Wizara karibu zote zimehamia Dodoma ambapo zina majengo katika mji wa serikali Mtumba. Kwa miaka yote...
  2. Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

    UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO. Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro. Yes nawakumbusha Vijana 👇 Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata...
  3. M

    Ushauri kwa vijana wenzangu

    Jiamini na Jitambue; Fahamu thamani yako na tambua uwezo ulionao. Kujiamini kunakuwezesha kuchukua hatua kubwa kuelekea malengo yako. Tambua kile unachokipenda na kilicho na maana kwako. Mfano: Mo Dewji, mjasiriamali maarufu Tanzania, aliamini uwezo wake na kujitambua, akajenga kampuni yenye...
  4. W

    Vijana mnaolalamika mapenzi mnazijua stress za mikopo ya biashara ?

    Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
  5. M

    KERO Responded Mamlaka zimeshindwa kudhibidi Vijana wanaovamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Tabora Polytechnic College?

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo. Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
  6. Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

    Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa...
  7. PreGE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  8. DR Congo imewanyonga Majambazi 102, Tanzania tunacheka na Panya Road, Wadudu na Magenge Mengine ya Wahalifu

    Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la Habari la Associated Press. Waziri alisema wanaume hao, wenye umri wa miaka 18 hadi 35, walikuwa...
  9. Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

    Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
  10. C

    Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

    Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu. Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi. Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama. Mshahara kwa mmoja ni 150,000 KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi...
  11. Fahamu Makundi Mbalimbali ya Vijana Wanaokaa Vijiweni (Jobless)

    Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
  12. Tafakuri: Sera ya ukomo wa madaraka itapiga spana na kuathiri vipaji ya vijana. Wazee kama Tundu Lissu hawataathirika

    Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano vizivyozidi viwili. Ukiitafakari sera hiyo utagundua kuwa kiuhalisia wenye umri kama wa Tundu Lissu, sera...
  13. Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  14. Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  15. Aliyoyasema Abdul Nondo akiwa kwenye mkutano wa Baraza La Vijana la CHADEMA (BAVICHA)

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 13, 2025 amesema: “Sisi vijana wa vyama...
  16. Msitu wa Kongowe wawa Dampo ya maiti, Idadi kubwa ya Maiti za vijana zaongozwa kuokotwa,Wengine wazikwa huko huko bila kutambulika

    Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa vijana kuwa kundi kubwa la hizo maiti zinazookotwa. Kulingana na ushahidi wake mwenyewe mara nyingine...
  17. Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
  18. POTOSHI Video: DRC watekeleza mauaji kwa vijana 120 walioshiriki jaribio la uhaini

    Naomba nisiwekemaneno sana. Pitia video hii ujue nini kimejiri Kinsasha DRC. Miongoni mwa waliouawa hadharani ni raia wawili wa Marekani na mmoja wa Uingereza Afrika ni mwendo wa kuuana. Anayewini ni yule mwenye timing kali
  19. Kwa nini vijana wa kiume wanajiachia na kuwa huru kwa dada zao

    Hiyo kichwa inahusika Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie. Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona...
  20. J

    PreGE2025 Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya mkutano mkuu CCM

    ✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM. Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…