Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini
Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya...
GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.
Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.
Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao.
Je...
Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii.
Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana...
Katika dunia ya sasa, knowledge economy ndiyo msingi wa utajiri. Vijana wengi tuna mawazo makubwa lakini hayapati nafasi ya kugeuzwa kuwa tangible income. Nataka tuunde Digital Knowledge Hub—platform ya kusambaza makala, tafiti, e-books, na short online courses zinazotengenezwa na sisi wenyewe...
Wakuu,
Leo nimekuwa nikitafakari jambo moja ambalo limekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku – simu za mkononi.
Ni ukweli kwamba simu imerahisisha mawasiliano, biashara, elimu na hata huduma za kijamii. Lakini kwa upande mwingine, kuna maswali makubwa:
Vijana wengi sasa wamelala na simu, kuamka...
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha.
Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame...
Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Miundombinu yetu ambayo...
Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha.
Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK
==
CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa.
Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — “eti mnataka tuandamane ili iweje sasa?” 😏
==================
Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal, Makuli mapya ya ghorofa yamejengwa na Mabarabara mapya...
Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi.
Vijana hao wamesema kutokana na elimu yao kuwa ya kawaida wanatumia ujuzi huo kujikimu kimaisha ikiwemo kusomesha watoto.
Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu."
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini, Ndaro Samsoni, amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu ili kuchagua rais, mbunge na diwani. Ndaro amesema ushiriki wa vijana ni muhimu kwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa...