vijana

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Vijana msishindane na serikali. Tulieni

    Vijana msishindane na serikali, mtulie, fanyeni kazi mule ugali na familia zenu Siku ya maandamanlo ya tarehe 29 wengi waandamanaji walikuwa vibaka na wezi na ndl sababu wengi waliiibiwa Sasa je,maandamano nikuaribu miundombinu? Ni kuiba maliza raia wenzenu? Kwa wote waliouwawa bila hatia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafel wapi? Jiaminini

    Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo Nilipata offers nyingi kuotka kwa wadada wa kawaida mno ambao sikuwapenda.so nilidecline ofa zao Nilijiamin ingawasikua na ela...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni batili, vijana tusitumike

    Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la police kwanini mnawapeleka vijana walioandamana mahakamani wakiwa uchi na wamedhoofika kiafya?

    Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima? Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi Vijana walikuwa hawana nguo wala viatu Sasa kama mtu anafikia mahakamani akiwa uchi, huyu mtuhumiwa anaishije huko mahabusu...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

    Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi. Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni...
  8. JamiiForums Tanzania Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  9. JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  11. JamiiForums Tanzania Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia asisitiza "Tupeni miili ya vijana wetu tuwazike"

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia amesema hali iliyojitokeza siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, si suala la kisiasa pekee bali ni “maumivu ya wananchi walio wengi dhidi ya wachache”, kutokana na hali hiyo kugubikwa na maumivu, vifo- miongoni mwa mambo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  18. JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wali wadhihaki vijana kwamba hawana la kufanya on 29th. Mko wapi sasa?

    😁😁 mna hali gani huko?
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema awashauri vijana, wakimaliza kupiga kura, warudi nyumbani wakalale

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…