vijana

  1. JamiiForums Tanzania KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wikiendi nyingine tena ambayo inaenda kuharibu maisha ya vijana kadhaa

    ■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA ■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER ■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA ■HIO CHUPA YA TATU WALIOKUNUNULIA NDIO INAENDA KUKUMALIZA, HIZO MBILI ZINATOSHA , NENDA NYUMBANI
  3. JamiiForums Tanzania Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kweli wake za watu walioajirwa (corporate) wanaliwa sana na boss zao maofisini au ni hofu tu za vijana ?

    Wanaume hasa vijana wa wa Tanzania wenye hofu za wake zao kuliwa na maboss na wafanyakazi wenzao kwenye Ofisi walizoajiriwa ni hisia zao za unyonge tu (inferiority complex) na Masculine insecurity au kuna uhalisia ?
  5. JamiiForums Tanzania Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
  6. JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Na nyie ambao mnakaa kwa shemeji zenu muwe na heshima na adabu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  8. JamiiForums Tanzania Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana Waandamana Redeemed Gospel Church Buruburu Wakidai Haki kwa Jahenda

    Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda. Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  11. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen Z katika kusimamia Taifa 10 yrs later?

    Wakubwa shikamooni katika jukwaa Leo nimewiwa kuomba muongozo kwa wakubwa juu ya hali iliyo Sasa ya kimaadili , technology, Je serikali imejipanga vipi kulinda uzao wa kizazi cha watu mahiri wa kulitumikia taifa katika uadirifu usiri na njia sahihi kijamii ,ki nchi kwa ujumla ukikaa na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Happy sabbath: ikifika usiku someni bliblia vijana achaneni na uzinzi someni biblia vijana

    Wakuu kwema, Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo. vijana someni biblia Danieli 12:2-7 2 Tena, wengi wa hao...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

    Shida ni nini Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
  14. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Mindi Kasiga afungua Kongamano la Kumuenzi Dkt Salim: Asisitiza Vijana kutatua Migogoro kwa njia za Kidiplomasia

    Balozi Mindi Kasiga afungua Kongamano la Kumuenzi Dkt Salim: Asisitiza Vijana kutatua Migogoro kwa njia za Kidiplomasia. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mindi Kasika leo tarehe 30 Septemba, 2026 amefungua Kongamano la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  16. JamiiForums Tanzania Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)? Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)? Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza. Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
  18. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndejembi: Tujiminye kununua V8 tuwanoe vijana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana wanaohitimu vyuo ili kuwaandaa kuingia katika soko la ajira. Akizungumza leo, Septemba 28, 2026, katika...
  20. JamiiForums Tanzania 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…