vifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intaneti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa kabla...
  2. Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intanenti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
  3. M

    Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  4. Tanesco uzeni umeme kwa “BUNDLES” vifurushi

    Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7 Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi Hii itapelekea pia kutumika...
  5. Nani anaekagua kuhakiki vipimo na muda wa network bundles ili kumlinda mteja?

    Salamalleikhoom wakuu! Nataka tujadili kuhusu mada au hoja hapa JUU! Biashara zote za bidhaa zinatawaliwa na aina moja ama nyingine za vipimo ili kuhakikisha kwamba MTEJA anauziwa bidhaa husika kupitia kipimo ambacho mteja na mfanyabiashara wana uhakika nacho. Kwamfano ukinunua nyama au...
  6. M

    Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  7. Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,500/= DStv Bomba - 27,500/= DStv Family - 40,000/= DStv Compact - 68,000/= DStv Compact Plus - 118,000/= DStv Premium - 189,000/= Extra view - 36,000/= Ndani ya mwaka tu wamepandisha...
  8. Mmejiandaaje na bei mpya ya vifurushi vya Azam Tv?

    Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
  9. DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  10. Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  11. D

    Jinsi vifurushi vya bando vinavyotumika

    Ivi ukiwa na kifurushi Cha bando la mwezi halotel alafu katikati ya mwezi ukaongeza kifurushi Cha siku moja. Kwenye matumizi inakuwaje kitaanza kutumika kipya mpaka kiishe alafu ndio Cha zamani kuendelea au inakuwaje wakuu
  12. Nadhani Siasa za 2025 zishakwisha tunapoendelea kupambania Maisha na Afya zetu tujadili hivi vifurushi vipya vya NHIF

    Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :- 1. Kuna dawa muhimu zimetolewa 2.Gharama zimeongezeka 3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
  13. DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

    Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000 Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
  14. Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus - 116,000/= DStv Premium - 185,000/= Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
  15. R

    Kwako Dr Jabiri Bakari: TCRA yatoa ufafanuzi kuhusu gharama za vifurushi vya simu...... internet na muda wa maongezi

    Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO. LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
  16. Msaada tutani vifurushi vya post paid (SME)

    Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!! Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa UNSUCCESSFULL numelipa mara moja siku ya kuiactivate...!! Msaada hapo nifanyaje mana siku unaweza...
  17. E

    Watu tunalia na vifurushi vya NHIF Mtibeli amegundua bima ya elfu 40 , naipataje wadau ?

    Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc Naipataje mnaoijua ?
  18. Waziri Silaa azindua mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria (Swifpack), asema utapandisha thamani kazi ya bodaboda

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
  19. Bei za vifurushi za bima ya afya ya NHIF vimebadilishwa. Gharama zimepanda

    Wakuu, Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake. Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike. Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
  20. Dkt. Irene wa NHIF kaanza mwaka 2025 kwa kishindo: Kabuni vifurushi vya Serengeti (huduma 1,800), Ngorongoro (huduma 440), na Toto Afya Kadi karudisha

    DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya. Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…