vifo maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushahidi wa mauaji ya Mo29 wafika ICC. Mmoja akiri kuua watu 300

    Wakuu, hii ni breaking news na habari kubwa mno, Ushahidi wa mauaji ya Mo29 yamefika ICC.Nimeattach hii voice notes.Kweli nimeamini Ogopa Mungu na Teknolojia kwa huu ushahidi Hachomoi nawaambia ndugu zangu, siku za mwizi ni arobaini. 1.Ushahidi wa Video 2.Ushahidi wa picha za Satellite...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Habil wa TikTok aibua tuhuma nzito kwa Haji Kheir juu ya Oktoba 29. adai polisi waliojaribu kuwatetea vijana waliuawa

    Wakuu habari za mda huu. Kuna kijana mmoja huko TikTok anaitwa Habil & Kabil ukifuatilia video zake na tuhuma anazo toa juu ya Haji Kheir ni nzito sana na za kuogepesha mno. Pia soma: Haji Omar Kheir - Mshauri wa Rais Ikulu, ana uhusika na mauaji Uchaguzi 2025?
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

    Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya watuhumiwa 11 wa maandamano ya uchaguzi yaahirishwa, upelelezi bado haujakamilika

    Kesi inayowakabili watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika na matukio ya uhalifu yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imeahirishwa hadi Novemba 26 mwaka huu baada ya upande wa mashitaka kudai kuwa upelelezi bado haujakamilika. Watuhumiwa hao upande wa Wilaya ya...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mziwanda: Nimesikitika TEC kuita ‘Vurugu’ za Oktoba 29 kuwa ‘Maandamano’

    Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kushangazwa na Kauli ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuwa kilichofanyika Oktoba 29, 2025 ilikuwa maandamano na si vurugu, uharibifu na wizi kama ilivyoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Mauaji ya Oktoba 29 yachunguzwe na Taasisi huru zisizoegemea upande wowote, ikiwemo za Kimataifa

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya Oktoba 29 kupitia Taasisi huru, uchunguzi ambao utashirikisha wadau wa ndani na nje ya nchi na kuongozwa na vyombo visivyoegemea upande wowote ikiwemo taasisi za dini na taasisi huru za kimataifa ili ukweli...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Nimesikitika hajatamka Watu wangapi wamekufa, idadi ya majeruhi. Waliohusika kufanya mauaji wachukuliwe

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amezungumza kupitia BBC baada ya hotuba ya Rais Samia akifungua Bunge la 13.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

    Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana. Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji: Zipo athari za walioshuhudia vifo, serikali izungumze na wananchi kuliponya taifa

    Mchungaji Rose Shaboka ameiambia DW kuwa serikali pia lazima ijitoe ili kuzungumza wazi na wananchi katika kuliponya taifa, Lazima Wantanzania wakubali kilichotekea, na kutafuta suluhu kwa siku zijazo.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Godlisten Malisa: Utu ni zaidi ya mali, CRDB msisahau kutoa pole kwa waliopoteza uhai

    Anaandika Mwanasiasa na mwanaharakati Godlisten Malisa....... "CRDB Bank imetoa maua na tuzo ya pole kwa The Voice Bar Kinyerezi, inayodaiwa kuharibiwa kutokana na ghasia za Oktoba 29. Ni jambo jema kuwajali wateja wenu kwa kiwango hiki, na kwa hilo nawapongeza. Lakini je, vipi kuhusu mamia ya...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  12. JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyepigwa Risasi ya Tumbo: Wamedhamilia kutuua wanatupiga Risasi za moto, Risasi hii hapa ninayo

    Mwananchi mmoja aliyepigwa risasi tumboni wakati wa maandamano amesema kuwa "Wamedhamilia kutuua wanatupiga Risasi za moto, Risasi hii hapa ninayo"
  13. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Norway waomboleza na Watanzania kwa kuwapoteza wapendwa wao

    Ubalozi wa Norway unatoa pole za dhati kwa wote walioathirika na matukio ya hivi karibuni nchini Tanzania. Tunaungana na familia na jamii zilizopoteza wapendwa wao na pia na wale wote wanaokabiliana na changamoto za kipindi hiki kigumu. Fikra zetu ziko pamoja nanyi, na tunaheshimu kumbukumbu za...
  14. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Saikolojia: Kuendelea kukamata na kutishia watu hakuponyi taifa, waliokamatwa waachiwe na 4R zitumike kuanza upya

    Akizungumza kuhusu hali ya baada ya uchaguzi, Mtaalamu wa Saikolojia, Leonard Mgina amesema kuwa kuendelea kuwakamata watu kutokana na matukio yaliyotokana na uchaguzi kunachochea majeraha ya kisaikolojia na kudhoofisha jitihada za kujenga taifa lenye umoja na amani. “Ni muhimu sasa kuelekeza...
  15. JamiiForums Tanzania Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  16. JamiiForums Tanzania ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Diaspora wa Watanzania Canada waandamana: Samia sikiliza kilio cha Watanzania. Waachie Polepole, Lissu, Heche, Niffer

    Diaspora wa Watanzania nchini Canada, ambayo inajumuisha moja ya jamii kubwa zaidi ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya Afrika, wameandamana ikiwa ni juhudi za kimataifa za kupigania madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu kufuatia uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania na kusababisha mauaji...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Wanalipwa kuchochea vurugu, nchi yetu wameichoma moto

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group: Wanasiasa hawahusiki na umiliki wa vituo vyetu vya mafuta

    Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina uchungu na waliondamana kuliko watekaji wa raia wana uchungu na mali na miundombinu kuliko makumi ya vijana waliokufa

    HAKI ya kwanza na ya muhimu kwa raia yoyote ni haki ya kuishi. Hakuna mali wala miundombinu wala maendeleo yoyote yanaweza kulinganishwa na uhai wa raia mmoja TU. Uhai wa mtu hauna mbadala tunao mara Moja TU. Kama maendeleo ni Kwa ajili ya watu ,ukishaua raia wako hayo maendeleo Yana faida gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…