Hii ilikuwa Rombo, jana Novemba 8. Vijana walikuwa wakimzika Gen Z mwenzao, aliyeuawa wakati wa maandamano ya kudai haki yao. Wakati wa mazishi, sauti za waombolezaji zilisikika zikisema ‘Wauaji CCM’, huku vilio na hasira za kizazi kilichochoshwa na ukatili vikigubika shughuli za mazishi.
Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi kufikiria kama tunaweza kufika hapa tulipo.
Soma: Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) akiimba...
Watu tisa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 makosa ambayo waliyalifanya kwa kipindi cha kati ya mwezi March mpaka Octoba 30 mwaka 2025.
Akisoma...
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Chesco Msaga, C.PP.S, leo Novemba 7, 2025 katika Ibada ya kuwaombea marehemu na majeruhi wote waliopata madhara katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, amesema, “Haki ndiyo huzaa amani. Tusipotenda haki, amani haiwezi kutawala kamwe.”
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi...
Msanii Wakazi kupitia Ukurasa wake wa X (twitter) amewasihi Wananchi kuipigania Tanzania yao badala ya kuandia hastags tu kama trends. Amesema hakuna uhalali wowote wa watu kuuawa hata kama kuna vitu viliharibiwa.
Anasema;
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!
Hakuna Mtu perfect, na ni kweli...
Hii nchi niliwahi kusema ukielewa how deep hizi timu za Simba na Yanga zinavyotumika kupumbaza na kuumiza Watanzania, wengi mtalia sana.
Yule jamaa aliyevaa jezi ya Yanga aliyetoka akaenda na wenzake kumiminia watu risasi za vichwa hakuamka tu akaamaua avae jezi ya Yanga na wala hakushtuliwa tu...
Profesa Anna Tibaijuika ambaye ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Makazi katika Serikali ya awamu ya nne chini ya Dr. Jakaya Kikwete, ametuma salamu za pole kwa Watanzania wote waliofikwa na madhara ya maandamano ya October 29 na kushauri kwamba wote waliofariki wazikwe kwa heshima...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi?
Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?
Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
Sikio la Kufa halisikii Dawa !!.
Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana.
Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?.
Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!.
Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.